KichwaNgumu254
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 1,284
- 1,152
Mange amekuwa ndio source kubwa. Hivi anakitengo gani serikalini au nchini ?? Fools will always remain fools. Wawekezaji wanajua mazingira yakuwekeza niyapi. Muhimu nikuwa na mazingira bora. FDI Tanzania anaongoza Africa Mashariki. Pia ukitaka kujua viwanda vilivyojengwa Tanzania google itakusaidia.[emoji3] lenyewe linasubiria likazindue fensi ya shule ya chekechea Chato likatoe vitisho vizuri...itakua limerogwa lile Babu so bure
Hahaha!! Kwanza swali la kwanza,Trillion 1.5 zimeenda wapi?!Mange amekuwa ndio source kubwa. Hivi anakitengo gani serikalini au nchini ?? Fools will always remain fools. Wawekezaji wanajua mazingira yakuwekeza niyapi. Muhimu nikuwa na mazingira bora. FDI Tanzania anaongoza Africa Mashariki. Pia ukitaka kujua viwanda vilivyojengwa Tanzania google itakusaidia.
lugha gani hii??
Polepole usiokote makopo, Hapa kazi tu.Hahaha!! Kwanza swali la kwanza,Trillion 1.5 zimeenda wapi?!
La pili,hakuna mwekezaji wa maana atakuja kuwekeza kwenye nchi ambayo haieleweki yaani nchi inategemea mood ya kiongozi leo ataamkaje,HAKUNA.
Embu nambie tangu awamu hii ianze ni mwekezaji gani wa maana amekuja Tanzania?!
Dangote mwenyewe tu anajuta kuwekeza Tanzania na alishawahi kulalamika kuhusu Sera za uwekezaji wa Tz lakini akaishia kujibiwa nyodo na mawiziri.
Kwa kweli lazima iwe kazi tu maana kupiga Trillion 1.5 so kazi ndogo.Polepole usiokote makopo, Hapa kazi tu.
Kichwa yako ni kama kopo, endelea na uzwazwa wako wa kusikiliza ujinga. HAPA KAZI TUKwa kweli lazima iwe kazi tu maana kupiga Trillion 1.5 so kazi ndogo.
Ila Kuna watu siku ya Mwisho nahisi watakua na Moto wao special. Trillion 1.5 unaiba bila haya hlf kanisani unabusu msalaba[emoji23]
Kichwa chako kimejaa michanga. Nenda kachukue Buku 7 yako kwa mazwazwa wenzako. HAPA JIZI TU.Kichwa yako ni kama kopo, endelea na uzwazwa wako wa kusikiliza ujinga. HAPA KAZI TU
Zito Kabwe ni muislamu, anaruhusiwa kuoa zaidi ya mke mmoja, hivi sasa ana mke mmoja tu, bado watatu, harakisha ukawe mke wa pili.Kichwa chako kimejaa michanga. Nenda kachukue Buku 7 yako kwa mazwazwa wenzako. HAPA JIZI TU.
Nawe si utakua wa Tatu. HAPA JIZI TU.Zito Kabwe ni muislamu, anaruhusiwa kuoa zaidi ya mke mmoja, hivi sasa ana mke mmoja tu, bado watatu, harakisha ukawe mke wa pili.
Nawe si utakua wa Tatu. HAPA JIZI TU.
[emoji23] Povu la Omo ruksa
Nice one bro.Are you applauding this kind of thievery ? ...........what a prick
Mimi sio mwanasiasa. Ukitaka siasa nenda kwa Mange kimambi.Hahaha!! Kwanza swali la kwanza,Trillion 1.5 zimeenda wapi?!
La pili,hakuna mwekezaji wa maana atakuja kuwekeza kwenye nchi ambayo haieleweki yaani nchi inategemea mood ya kiongozi leo ataamkaje,HAKUNA.
Embu nambie tangu awamu hii ianze ni mwekezaji gani wa maana amekuja Tanzania?!
Dangote mwenyewe tu anajuta kuwekeza Tanzania na alishawahi kulalamika kuhusu Sera za uwekezaji wa Tz lakini akaishia kujibiwa nyodo na mawiziri.
Hahaha!! Kama kipi mkuu,si uvitaje?!Mimi sio mwanasiasa. Ukitaka siasa nenda kwa Mange kimambi.
Viwanda tunazidi kujenga kila kukicha hapa Tanzania. Mapori tunafyeka tunajenga viwanda.
Nikikutajia kimoja kimoja siwezi maliza. Pitia hapa chini.Hahaha!! Kama kipi mkuu,si uvitaje?!
Au kile Cha dawa ya mbu ambacho kilizinduliwa wakati kinafanya kazi tangu 2014[emoji23]
Sawa za mijiuzaSimu za miujiza
Na kiwanda tangia March mpaka sasa hakizalishi..Hahaha!! Kwanza swali la kwanza,Trillion 1.5 zimeenda wapi?!
La pili,hakuna mwekezaji wa maana atakuja kuwekeza kwenye nchi ambayo haieleweki yaani nchi inategemea mood ya kiongozi leo ataamkaje,HAKUNA.
Embu nambie tangu awamu hii ianze ni mwekezaji gani wa maana amekuja Tanzania?!
Dangote mwenyewe tu anajuta kuwekeza Tanzania na alishawahi kulalamika kuhusu Sera za uwekezaji wa Tz lakini akaishia kujibiwa nyodo na mawiziri.
Haya mambo ni akili tu, sio kuzurura nchi za watu.. Raisi ana wawakilishi karibia dunia nzima, Kiufupi tuko karibia mataifa yote makubwa tunatangaza na kuvutia uwekezaji pamoja na vivutio vya asiliHahahaaa Wenzake Kina KAGAME na UHURU wapo kwenye High Table na wawekezaji wanadiscuss fursa zilizopo kwenye nchi zao.