Junior Clinton Mr.
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 1,075
- 1,423
Hao wameshalogwa unapoteza muda tu hapo..ukimuelewesha chizi utajipa kaziAnae sema viwanda Tanzania havijengwi
Hivyo nivi chache tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wameshalogwa unapoteza muda tu hapo..ukimuelewesha chizi utajipa kaziAnae sema viwanda Tanzania havijengwi
Hivyo nivi chache tu.
Hawajamaa Mangekimambi ndio baba yao. Mange kawashika akili hawawezi changanua.Haya mambo ni akili tu, sio kuzurura nchi za watu.. Raisi ana wawakilishi karibia dunia nzima, Kiufupi tuko karibia mataifa yote makubwa tunatangaza na kuvutia uwekezaji pamoja na vivutio vya asiliView attachment 749526View attachment 749527View attachment 749528
Ukweli ndio huu lakini ni mchungu😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Hahaha!! Kama kipi mkuu,si uvitaje?!
Au kile Cha dawa ya mbu ambacho kilizinduliwa wakati kinafanya kazi tangu 2014[emoji23]
"Viwanda" vya juicy na cherahani😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀ata somalia pia wanajenga izo"viwanda"unitag hicho kiwanda kikijengwa 😀😀😀😀😀Naona wivu umekufika pabaya. Tanzania tunajenga viwanda kila kukicha.
Unajua Uyo mbalozi wenyu asipoandika izo tweets maramara atafutwa kazi na dikteta kule ikule kisa haeneza propaganda za ccm inafanya kazi😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Sasa leta source kwenye iyo kampuni imesema inajenga kiwanda, sisi sio wajinga ka nyinyi miccm😀😀😀😀😀Naona unazidi kuchanganikiwa kwa kasi ya Tanzania tunayoenda nayo. Hiyo ni Tweet page ya ubalozi wa Tanzania nchini China. Utakonda sana mwaka huu. Nabado tweet nyingine tu nyingi nitazifungulia thread.
Kila kukicha tunajenga viwanda."Viwanda" vya juicy na cherahani😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀ata somalia pia wanajenga izo"viwanda"unitag hicho kiwanda kikijengwa 😀😀😀😀😀
Uzinduzi wa kiwanda cha Kiluwa steel.Unajua Uyo mbalozi wenyu asipoandika izo tweets maramara atafutwa kazi na dikteta kule ikule kisa haeneza propaganda za ccm inafanya kazi😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Sasa leta source kwenye iyo kampuni imesema inajenga kiwanda, sisi sio wajinga ka nyinyi miccm😀😀😀😀😀
Uzinduzi wa kiwanda cha Largest Sunflower coocking Oil production in East and Central Africa mkoani Singinda.Unajua Uyo mbalozi wenyu asipoandika izo tweets maramara atafutwa kazi na dikteta kule ikule kisa haeneza propaganda za ccm inafanya kazi😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Sasa leta source kwenye iyo kampuni imesema inajenga kiwanda, sisi sio wajinga ka nyinyi miccm😀😀😀😀😀
UZINDUZI WA VIWANDA PWANI BY MAGUFULI. Hapa tunaongelea viwanda sio kiwanda. Hiyo ni Pwani region pekeyake."Viwanda" vya juicy na cherahani😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀ata somalia pia wanajenga izo"viwanda"unitag hicho kiwanda kikijengwa 😀😀😀😀😀
Utalia sana mwaka huu. Utaangaika sana. Pili ccm haikuhusu. Wewe pambana huko na uzaifu wa Jubilee.Unajua Uyo mbalozi wenyu asipoandika izo tweets maramara atafutwa kazi na dikteta kule ikule kisa haeneza propaganda za ccm inafanya kazi😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Sasa leta source kwenye iyo kampuni imesema inajenga kiwanda, sisi sio wajinga ka nyinyi miccm😀😀😀😀😀
Kichwa chako kimejaa michanga. Nenda kachukue Buku 7 yako kwa mazwazwa wenzako. HAPA JIZI TU.
Check out @TZEmbassy’s Tweet: Check out @TZEmbassy’s Tweet: Check out @TZEmbassy’s Tweet:
UZINDUZI WA VIWANDA PWANI BY MAGUFULI. Hapa tunaongelea viwanda sio kiwanda. Hiyo ni Pwani region pekeyake.
Sina jinsi sema kama unahitaji uzinduzi mwingine. Hizo emoji zinamaumivu makali. UZINDUZI WA VIWANDA PWANISasa mbona huu upuzi unarudia hapa kila siku 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Nataka kitu kipya aisee kila siku oooh kiwanda cha ceramic ooh kinyeyerezi lI, ooh vowanda kam on lta kitu kipya wachana na huu uchafu unaposti japa kila siku tangu nijiungee na jammii forum😀😀😀😀😀
Naona kwa mwendo huu tukiimba kumi tena, uhuru alikuta uchumi ukiwa $40bilion sasa ivi uchumi wetu uko $88bn,uchumi wetu umekua maradufu tangu aingie sasa leta data za uyo dikteta wa ccm tuone tangu aingie amekuza uchumi wenyu kwa asalimia ngapi ispokua tu data za kupika na uzinduzi wa viwanda vya cherani na juicy *****😀😀😀😀😀😀😀Utalia sana mwaka huu. Utaangaika sana. Pili ccm haikuhusu. Wewe pambana huko na uzaifu wa Jubilee.
Uhuruto Tano Tena.
Kumbe wewe jamii forum mgeni. Karibusana. Nakupatia viwanda vingine alivyozindua Magufuli. Usilie sana umeyataka mwenyewe.Sasa mbona huu upuzi unarudia hapa kila siku 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Nataka kitu kipya aisee kila siku oooh kiwanda cha ceramic ooh kinyeyerezi lI, ooh vowanda kam on lta kitu kipya wachana na huu uchafu unaposti japa kila siku tangu nijiungee na jammii forum😀😀😀😀😀
Kiwanda cha magari au assembly plant ??walisema kiwanda cha magar kitaanzishwa by 2019 mpk leo sion hata maandaliz
Nionyeshe evidence ya uchumi kuwa $88 billion. Ukiipata ni tag.Naona kwa mwendo huu tukiimba kumi tena, uhuru alikuta uchumi ukiwa $40bilion sasa ivi uchumi wetu uko $88bn,uchumi wetu umekua maradufu tangu aingie sasa leta data za uyo dikteta wa ccm tuone tangu aingie amekuza uchumi wenyu kwa asalimia ngapi ispokua tu data za kupika na uzinduzi wa viwanda vya cherani na juicy *****😀😀😀😀😀😀😀