Kiwanda chakutengeneza Simu na Softwares Afrika Mashariki na Kati kujengwa nchini Tanzania.

Hahaha!! Kama kipi mkuu,si uvitaje?!

Au kile Cha dawa ya mbu ambacho kilizinduliwa wakati kinafanya kazi tangu 2014[emoji23]
Ukweli ndio huu lakini ni mchungu😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Naona wivu umekufika pabaya. Tanzania tunajenga viwanda kila kukicha.
"Viwanda" vya juicy na cherahani😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀ata somalia pia wanajenga izo"viwanda"unitag hicho kiwanda kikijengwa 😀😀😀😀😀
 
Naona unazidi kuchanganikiwa kwa kasi ya Tanzania tunayoenda nayo. Hiyo ni Tweet page ya ubalozi wa Tanzania nchini China. Utakonda sana mwaka huu. Nabado tweet nyingine tu nyingi nitazifungulia thread.
Unajua Uyo mbalozi wenyu asipoandika izo tweets maramara atafutwa kazi na dikteta kule ikule kisa haeneza propaganda za ccm inafanya kazi😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Sasa leta source kwenye iyo kampuni imesema inajenga kiwanda, sisi sio wajinga ka nyinyi miccm😀😀😀😀😀
 
"Viwanda" vya juicy na cherahani😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀ata somalia pia wanajenga izo"viwanda"unitag hicho kiwanda kikijengwa 😀😀😀😀😀
Kila kukicha tunajenga viwanda.
Uzinduzi wakiwanda cha Ceramic (tiles) largest in East and Central Africa.
 
Unajua Uyo mbalozi wenyu asipoandika izo tweets maramara atafutwa kazi na dikteta kule ikule kisa haeneza propaganda za ccm inafanya kazi😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Sasa leta source kwenye iyo kampuni imesema inajenga kiwanda, sisi sio wajinga ka nyinyi miccm😀😀😀😀😀
Uzinduzi wa kiwanda cha Kiluwa steel.
Largest steel factory in East and Central Africa. Kina 2 km railway truck ndani ya kiwanda.
 
Unajua Uyo mbalozi wenyu asipoandika izo tweets maramara atafutwa kazi na dikteta kule ikule kisa haeneza propaganda za ccm inafanya kazi😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Sasa leta source kwenye iyo kampuni imesema inajenga kiwanda, sisi sio wajinga ka nyinyi miccm😀😀😀😀😀
Uzinduzi wa kiwanda cha Largest Sunflower coocking Oil production in East and Central Africa mkoani Singinda.
 
"Viwanda" vya juicy na cherahani😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀ata somalia pia wanajenga izo"viwanda"unitag hicho kiwanda kikijengwa 😀😀😀😀😀
UZINDUZI WA VIWANDA PWANI BY MAGUFULI. Hapa tunaongelea viwanda sio kiwanda. Hiyo ni Pwani region pekeyake.
 
Unajua Uyo mbalozi wenyu asipoandika izo tweets maramara atafutwa kazi na dikteta kule ikule kisa haeneza propaganda za ccm inafanya kazi😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Sasa leta source kwenye iyo kampuni imesema inajenga kiwanda, sisi sio wajinga ka nyinyi miccm😀😀😀😀😀
Utalia sana mwaka huu. Utaangaika sana. Pili ccm haikuhusu. Wewe pambana huko na uzaifu wa Jubilee.
Uhuruto Tano Tena.
 
UZINDUZI WA VIWANDA PWANI BY MAGUFULI. Hapa tunaongelea viwanda sio kiwanda. Hiyo ni Pwani region pekeyake.

Sasa mbona huu upuzi unarudia hapa kila siku 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Nataka kitu kipya aisee kila siku oooh kiwanda cha ceramic ooh kinyeyerezi lI, ooh vowanda kam on lta kitu kipya wachana na huu uchafu unaposti japa kila siku tangu nijiungee na jammii forum😀😀😀😀😀
 
Sina jinsi sema kama unahitaji uzinduzi mwingine. Hizo emoji zinamaumivu makali. UZINDUZI WA VIWANDA PWANI
 
Utalia sana mwaka huu. Utaangaika sana. Pili ccm haikuhusu. Wewe pambana huko na uzaifu wa Jubilee.
Uhuruto Tano Tena.
Naona kwa mwendo huu tukiimba kumi tena, uhuru alikuta uchumi ukiwa $40bilion sasa ivi uchumi wetu uko $88bn,uchumi wetu umekua maradufu tangu aingie sasa leta data za uyo dikteta wa ccm tuone tangu aingie amekuza uchumi wenyu kwa asalimia ngapi ispokua tu data za kupika na uzinduzi wa viwanda vya cherani na juicy *****😀😀😀😀😀😀😀
 
Sasa mbona huu upuzi unarudia hapa kila siku 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Nataka kitu kipya aisee kila siku oooh kiwanda cha ceramic ooh kinyeyerezi lI, ooh vowanda kam on lta kitu kipya wachana na huu uchafu unaposti japa kila siku tangu nijiungee na jammii forum😀😀😀😀😀
Kumbe wewe jamii forum mgeni. Karibusana. Nakupatia viwanda vingine alivyozindua Magufuli. Usilie sana umeyataka mwenyewe.

Uzindizu wakiwanda cha Phillip Moris cha Sigara Morogoro

Uzinduzi wa Kiwanda cha kuchakata Nyama
Chobbo Investment

Uzinduzi wa kiwanda cha kuchakata matunda. Bakhresa Drinks...Fruit processing

Niendelee ??
 
Naona kwa mwendo huu tukiimba kumi tena, uhuru alikuta uchumi ukiwa $40bilion sasa ivi uchumi wetu uko $88bn,uchumi wetu umekua maradufu tangu aingie sasa leta data za uyo dikteta wa ccm tuone tangu aingie amekuza uchumi wenyu kwa asalimia ngapi ispokua tu data za kupika na uzinduzi wa viwanda vya cherani na juicy *****😀😀😀😀😀😀😀
Nionyeshe evidence ya uchumi kuwa $88 billion. Ukiipata ni tag.
 
Back
Top Bottom