Kiwanda chakutengeneza Simu na Softwares Afrika Mashariki na Kati kujengwa nchini Tanzania.

Weka viwonder zaidiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Asante kwa speech mingi alafu butchery moja ya moja ya nyama ati ndio kiwanda sasa endeleaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sina jinsi sema kama unahitaji uzinduzi mwingine. Hizo emoji zinamaumivu makali. UZINDUZI WA VIWANDA PWANI

Wewe ukona kichwa mzuri sasa unaweka speech ya dikteta dakika kumi na mimi nangoja video ya kiwanda *****πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Endelea kuleta speech lakini mi natata video za viwanda
 
Asante kwa speech mingi alafu butchery moja ya moja ya nyama ati ndio kiwanda sasa endeleaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Eti butchery !! Maumivu nayaona kwenye Emoji.
Naendelea,
Uzinduzi wakiwanda cha kutengeza vyuma Kahama

Uzinduzi wa kiwanda cha Sayona Mwanza

Uzinduzi wa kiwanda cha cement cha Kilimanjaro cement
 
Zaidi ya hotuba mreeeefu hakuna cha maana sasa leta kinyeyerezi heheπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Naona kisu kinaangia kwenye mfupa. Emoji za maumivu. Hapa kazi tu. Leo mwendo wakula viwanda tu !!
 
Endelea kuleta speech lakini mi natata video za viwanda
Leo utakula viwanda hadi uvimbiwe. Mkishiba mseme matumbo yasipasuke

Uzinduzi wa kiwanda cha kemikali(chemicals) cha SIKA.
 
Ahaaaa haaa haaaaaa

that is on papers, your nominal uchumi (GDP) reads $88bio but in reality or real uchumi (GDP) is even less than $40bio.
Teh teh look at the well-being of your people.
 
Hawajamaa Mangekimambi ndio baba yao. Mange kawashika akili hawawezi changanua.

Hawa wafuasi wa mambe kimangi nina wasiwasi nao, hao ama hawajaoa au ni mashoga, maana mimi ninavyowafahamu wanawake walivyo huwezi kuwaamini kwa kiasi hicho wanachomuamini hao wafuasi wake. wanawake ni watu wa emotional, watu wa hormonal imbalance, watu wa higher sickness rate than men (licha ya kuwa ni wagumu kufa), personalities na mengine mengi!! ukiona mtu mzima anamtegemea mwanamke kwa asilimia 100% ujue kuna shida. hata anafikiria kwamba ndiye mkombozi wake, ujue kuna walakini. wewe huoni hata vitabu vinasema muishi nao kwa utambuzi. hata aliyewaumba anawafahamu, na ndiyo maana ndoa yoyote mwanamke akiwa ndiye mwenye maamuzi ya mwisho, ujue hapo hamna ndoa. hapo muda wowote kutavurugika tu.
sasa kuna waTanzania wenzangu yaani kutwa kucha wako na kimangi, wanaona ndiyo nguzo ya mawazo yao. hata kufikiria wameacha wanasubiri amri yake. ukiona wewe ni mwanaume halafu akili yako unashikiwa na kimangi jichunguze sana, lazima kuna kitu ambacho unapaswa ujitathimini, anzia kwenye familia yako mpaka kwenye jamii yako. vinginevyo wewe ni shida.
 
Ahaaaa haaa haaaaaa

that is on papers, your nominal uchumi (GDP) reads $88bio but in reality or real uchumi (GDP) is even less than $40bio.
Teh teh look at the well-being of your people.
Nime mwanbia atoe evidence ya 88 billion
 
Nime mwanbia atoe evidence ya 88 billion
Nenda imf 2018 updates uangalie ila ni haki yako kuumwa na kutoaminiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Watz buana. Kwani lazima kila kiwanda kizinduliwe na Yohana? Hadi na kiwanda cha juisi pia? [emoji23][emoji23][emoji23]Kenya viwanda vinajengwa kila uchao lakini kamwe hutamuona rais Uhuru akivizindua. Hizi ni kazi za yule waziri Aden na timu yake.
 
Nenda imf 2018 updates uangalie ila ni haki yako kuumwa na kutoaminiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wewe fala kweli. IMF haijawahi toa GDP kabla ya mwaka kuisha. Sasa wanahesabu hewa ? You are another zero brain.
 
Watz buana. Kwani lazima kila kiwanda kizinduliwe na Yohana? Hadi na kiwanda cha juisi pia? [emoji23][emoji23][emoji23]Kenya viwanda vinajengwa kila uchao lakini kamwe hutamuona rais Uhuru akivizindua. Hizi ni kazi za yule waziri Aden na timu yake.
Sera ya viwanda niya Magufuli. Watakao zindua viwanda niyeye Magu, Samia au Waziri mkuu. Tunafanya hivyo kuonyesha tunasamini viwanda. Akifanya ziala tena atazindua viwanda. Au na wewe nikupe kiwanda ??

Uzinduzi wa kiwanda cha dawa za binadamu mkoani Mwanza
 
Watz buana. Kwani lazima kila kiwanda kizinduliwe na Yohana? Hadi na kiwanda cha juisi pia? [emoji23][emoji23][emoji23]Kenya viwanda vinajengwa kila uchao lakini kamwe hutamuona rais Uhuru akivizindua. Hizi ni kazi za yule waziri Aden na timu yake.
Pimbi wewe. Kenyetta hazindui viwanda ??

Uhuru opens KCC factory in Eldoret
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…