Ukipata bajeti kubwa wanaliita "bajeti hewa" ,ukiwa na shirika kubwa la ndege wanasema 'linaporomoka" ,ukiwa na uchumi mkubwa "huo uchumi ni wa wazungu pekee" ,ukipata kiwanda mpakani "hili ni la kuleta wenzetu chini"Yaani umeandika vizuri sana, tatizo pekee ni pale ulipoiingiza kenya katika hoja yako. Miye nilifikiri kwamba, tunajenga viwanda ili kujiletea maendeleo, kumbu tunajenga ili kuwakomoa wakenya!! aiseee
Seems like some people are always in deep desire to see you collapse ...nothing beats the absurdity of going into business and your main aim is not to grow and make $$$, but to see your colleague go down...it reeks of bitterness and envy.