Kiwanda kikubwa cha kijeshi Urusi chatiwa kiberiti

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Putin alipokua anapiga vyanzo vya umeme kule Ukraine, hakujua na kwake sio mbali kihivyo, kwamba hakufikiki, haya.

---

Another suspicious fire has started in Russia as the country struggles amid the Ukrainian war.

The military-linked Zvezda engineering plant in St Petersburg caught ablaze – further fuelling rumours that Russia is being hit by sabotage attacks.

The plant produces high-speed diesel engines for the military and civil fleet, and gearboxes for power plants of medium-tonnage warships.

It also supplies coastal patrol vessels, including those used off invaded regions of Ukraine in the black sea.

Daaaah!!! Yani sisi warusi wa Manyoni na Ngalenaro tunashangaa sana superpower anashambuliwaje kwao? Putin anatuangusha sana mbona Ukraine ni nchi ndogo sana, nawauliza warusi wenzangu Putin mbona hatoi siraha za maangamizi au anazania NATO watakuja Ukraine kusaidia?
 
Amesha ambiwa it could be death sentence to his own people..
 
Hivi wewe unajua kiingereza sawasawa? Umeelewa nini hapo??, ni wapi pameandikwa Ukraine anahusika na hiyo attack??. Hiyo inasemwa ni sabotage attack na hawakusema kwamba ni Ukraine anahusika.
 
Hivi wewe unajua kiingereza sawasawa??!!--- umeelewa nini hapo??, ni wapi pameandikwa Ukraine anahusika na hiyo attack??. Hiyo inasemwa ni sabotage attack na hawakusema kwamba ni Ukraine anahusika.

Ustadhi mwingine huyu kafufuka, mlikua mumetoweka.

Hata Moskov mlisema sio Ukraine kahusika bali mvuta sigara ndiye alisababisha, endeleeni kukana ila matukio yataendelea kila siku tena ndani ya kambi za kijeshi Urusi.
 
Hivi wewe unajua kiingereza sawasawa? Umeelewa nini hapo??, ni wapi pameandikwa Ukraine anahusika na hiyo attack??. Hiyo inasemwa ni sabotage attack na hawakusema kwamba ni Ukraine anahusika.
Hata USA Station zao za umeme zimekua zinalipuka kama bisi ndandi ya huu mwezi mmoja urussi kesha timba usa [emoji631]
 
Putin alipokua anapiga vyanzo vya umeme kule Ukraine, hakujua na kwake sio mbali kihivyo, kwamba hakufikiki, haya.

---

Another suspicious fire has started in Russia as the country struggles amid the Ukrainian war.

The military-linked Zvezda engineering plant in St Petersburg caught ablaze – further fuelling rumours that Russia is being hit by sabotage attacks.

The plant produces high-speed diesel engines for the military and civil fleet, and gearboxes for power plants of medium-tonnage warships.

It also supplies coastal patrol vessels, including those used off invaded regions of Ukraine in the black sea.

Ukraine atapigwa kikatili soon.
 
warusi wa kibera na buza watashupaza shingo sio mda mfupi. urusi kutokukubali kuwa kashindwa ni ngumu
 
Putin hii vita angeachana nayo tu.Haina maslahi kwake zaidi anajidhalilisha tu na kuwafanya NATO wajue nguvu za Urusi kijeshi zilivyo dhaifu.Sasa hivi Urusi ushawishi wake unapungua siku hata siku(Rejea nchi mbalimbali zinavyoachana na kununua silaha za Urusi)
 
Kwamba wewe unajua sana kuliko Putin Acha kuchekesha.
 
Back
Top Bottom