Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,091
- 3,695
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaendelea kuchukua maeneo bakhmut tayari.mwache zelisky aendelee kudanganywa.hiyo nchi itagawanywa.poland atachukua maeneo yake na Russia anaendelea kuchukua Maeneo yake.
Raia wamechoka, nchi hailindiki tena. Tutegemee maamuzi magumu ya pande zote-yaani hujuma za ndani kuongezeka+kipigo kutokaa njeHuko Russia kuna nn,mbona mioto haiishi
Bakhmut ipi hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunaendelea kuchukua maeneo bakhmut tayari.mwache zelisky aendelee kudanganywa.hiyo nchi itagawanywa.poland atachukua maeneo yake na Russia anaendelea kuchukua Maeneo yake.
Super kilazaHivi wewe unajua kiingereza sawasawa? Umeelewa nini hapo??, ni wapi pameandikwa Ukraine anahusika na hiyo attack??. Hiyo inasemwa ni sabotage attack na hawakusema kwamba ni Ukraine anahusika.
Kambi zenye kila aina ya defence zinazoaminiwa ni bora zaidi ulimwenguni.Ustadhi mwingine huyu kafufuka, mlikua mumetoweka.
Hata Moskov mlisema sio Ukraine kahusika bali mvuta sigara ndiye alisababisha, endeleeni kukana ila matukio yataendelea kila siku tena ndani ya kambi za kijeshi Urusi.
Yani unashambulia kambi ya anga alafu baada ya ndege kulipuka, ndege inachubuka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Kambi zenye kila aina ya defence zinazoaminiwa ni bora zaidi ulimwenguni.
Hivi hiyo milipuko huko Rusia kabla YA hii vita ilikuwepo?Hivi wewe unajua kiingereza sawasawa? Umeelewa nini hapo??, ni wapi pameandikwa Ukraine anahusika na hiyo attack??. Hiyo inasemwa ni sabotage attack na hawakusema kwamba ni Ukraine anahusika.
Hivi hiyo milipuko huko Rusia kabla YA hii vita ilikuwepo?
Huko Russia kuna nn,mbona mioto haiishi