Amesha ambiwa it could be death sentence to his own people..Daaaah!!! Yani sisi warusi wa Manyoni na Ngalenaro tunashangaa sana superpower anashambuliwaje kwao? Putin anatuangusha sana mbona Ukraine ni nchi ndogo sana, nawauliza warusi wenzangu Putin mbona hatoi siraha za maangamizi au anazania NATO watakuja Ukraine kusaidia?
Walogwe ndipo wataona kiev yote imekuwa jivu.--- watamuona mtemakuni na kuni zake.Wapige Kremlin iwe poa
Hivi wewe unajua kiingereza sawasawa??!!--- umeelewa nini hapo??, ni wapi pameandikwa Ukraine anahusika na hiyo attack??. Hiyo inasemwa ni sabotage attack na hawakusema kwamba ni Ukraine anahusika.
Mbona power station za umeme Marekani yote zinalipuka au ujui ..Huko Russia kuna nn,mbona mioto haiishi
Hata USA Station zao za umeme zimekua zinalipuka kama bisi ndandi ya huu mwezi mmoja urussi kesha timba usa [emoji631]Hivi wewe unajua kiingereza sawasawa? Umeelewa nini hapo??, ni wapi pameandikwa Ukraine anahusika na hiyo attack??. Hiyo inasemwa ni sabotage attack na hawakusema kwamba ni Ukraine anahusika.
Ukraine atapigwa kikatili soon.Putin alipokua anapiga vyanzo vya umeme kule Ukraine, hakujua na kwake sio mbali kihivyo, kwamba hakufikiki, haya.
---
Another suspicious fire has started in Russia as the country struggles amid the Ukrainian war.
The military-linked Zvezda engineering plant in St Petersburg caught ablaze – further fuelling rumours that Russia is being hit by sabotage attacks.
The plant produces high-speed diesel engines for the military and civil fleet, and gearboxes for power plants of medium-tonnage warships.
It also supplies coastal patrol vessels, including those used off invaded regions of Ukraine in the black sea.
Kwamba wewe unajua sana kuliko Putin Acha kuchekesha.Putin hii vita angeachana nayo tu.Haina maslahi kwake zaidi anajidhalilisha tu na kuwafanya NATO wajue nguvu za Urusi kijeshi zilivyo dhaifu.Sasa hivi Urusi ushawishi wake unapungua siku hata siku(Rejea nchi mbalimbali zinavyoachana na kununua silaha za Urusi)
Tunaendelea kuchukua maeneo bakhmut tayari.mwache zelisky aendelee kudanganywa.hiyo nchi itagawanywa.poland atachukua maeneo yake na Russia anaendelea kuchukua Maeneo yake.Hehehe!!! Umetelekeza neno "nonesense" sasa umeanza kutumia "soon".....