jingalao JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 36,197 Reaction score 29,717 Oct 2, 2017 #1 Tulimtukana sana Mwijage kuhusu kauli yake ya kuhamasisha kuwa kiwanda ni hata pale unapokuwa na vyerehani vinne. Katika pitapita yangu kwenye mtandao nimekutana na kampuni au kiwanda kilichoanza na cherehani kimoja. A to Z Textile Mills Limited | Arusha | Tanzania
Tulimtukana sana Mwijage kuhusu kauli yake ya kuhamasisha kuwa kiwanda ni hata pale unapokuwa na vyerehani vinne. Katika pitapita yangu kwenye mtandao nimekutana na kampuni au kiwanda kilichoanza na cherehani kimoja. A to Z Textile Mills Limited | Arusha | Tanzania
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Oct 2, 2017 #2 Haya sawa