jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Tulimtukana sana Mwijage kuhusu kauli yake ya kuhamasisha kuwa kiwanda ni hata pale unapokuwa na vyerehani vinne.
Katika pitapita yangu kwenye mtandao nimekutana na kampuni au kiwanda kilichoanza na cherehani kimoja.
A to Z Textile Mills Limited | Arusha | Tanzania