KIWANDA KILICHOTOKANA NA WANAFUNZI WA CHUO HUKO UGANDA

KIWANDA KILICHOTOKANA NA WANAFUNZI WA CHUO HUKO UGANDA

Darkish

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
326
Reaction score
364
Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuposti thread nikihoji kwa nini wanazuoni wetu UDSM mtaala wa Uhandisi (Mechanical Engineering) hawajiongezi na kuunda hata mfano wa gari. Majibu niliopata toka kwa wanazuoni hao, mimi mwenyewe nilikoma kuendelea na hiyo hoja. Sasa angalia wanafunzi wa Makerere walivyoanzisha mwendo enzi hizo:


View: https://www.youtube.com/watch?v=QbQsqRYCOqY
 
Tanzania elimu imefanywa ngumu badala ya kufanywa bora. Wanafunzi wanawaza kukariri na kupata GPA kubwa vinginevyo wata pata supplementary na kupata discontinuation. Kwa hio siyo kosa la wanafunzi bali mifumo. Tuhame kutoka kumfanya mwanafunzi asome kwa lengo la kupiga GPA kubwa badala yake apate elimu bora yenye manufaa
 
Back
Top Bottom