Tanzania elimu imefanywa ngumu badala ya kufanywa bora. Wanafunzi wanawaza kukariri na kupata GPA kubwa vinginevyo wata pata supplementary na kupata discontinuation. Kwa hio siyo kosa la wanafunzi bali mifumo. Tuhame kutoka kumfanya mwanafunzi asome kwa lengo la kupiga GPA kubwa badala yake apate elimu bora yenye manufaa