Hi Wadau, eti ni kiwanda gani wanaprocess pamba na kuzipack kwa wingi ready for use...mfano labda haya mahospitali makubwa yananunua wapi pamba zikiwa nyingi yaani mfano kilo mia na kuendelea mbele, pamba safi kabisa zikiwa nyingi kwenye mabox makubwa/mabello. i hope nimeeleweka wajameni...
pamba zenye ubora wa kutumika hospitalini nadhani huwa wanaagiza nje, ukiongea na watu wenye pharmacy watakupa majibu sahihi. ungespecify unahitaji kwa ajili gani, otherwise kama unataka pamba tu kwa wingi ambayo imechambuliwa kuondoa mbegu na uchafu tembelea shinyanga au mwanza, viwanda viko vingi sana we ingia ongea na wahusika utapewa bei kulingana na mzigo unaohitaji.