Kiwanda kinachoprocess pamba na kuuza hapa Tanzania

Kiwanda kinachoprocess pamba na kuuza hapa Tanzania

mama dunia

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
420
Reaction score
84
Hi Wadau, eti ni kiwanda gani wanaprocess pamba na kuzipack kwa wingi ready for use...mfano labda haya mahospitali makubwa yananunua wapi pamba zikiwa nyingi yaani mfano kilo mia na kuendelea mbele, pamba safi kabisa zikiwa nyingi kwenye mabox makubwa/mabello. i hope nimeeleweka wajameni...

Thanks
 
Wanazinunua toka mashambani kule wilaya ya Kwimba
 
Mama Dunia haujui hata vitu vinavyotokea Duniani!,lkn usihofu hv punde tu watakuja kukujuza!
 
pamba zenye ubora wa kutumika hospitalini nadhani huwa wanaagiza nje, ukiongea na watu wenye pharmacy watakupa majibu sahihi. ungespecify unahitaji kwa ajili gani, otherwise kama unataka pamba tu kwa wingi ambayo imechambuliwa kuondoa mbegu na uchafu tembelea shinyanga au mwanza, viwanda viko vingi sana we ingia ongea na wahusika utapewa bei kulingana na mzigo unaohitaji.
 
Back
Top Bottom