so what???Kiwanda kipya cha cement jaman chapa RHINO kimefunguliwa huku mkuranga kijij cha kisemvule,,kinazalisha cement bora yenye viwango vya kimataifa.ila bado maeneo yanyozunguka kiwanda hayajachangamka kuhimii mahitaj ya wafanyakazi waliopao na wageni wanaokuja kiwandani,kwan pia katika huo uonda kuna viwanda vingi sana na vikubwa ,
mtugawie ya kuonjaKiwanda kipya cha cement jaman chapa RHINO kimefunguliwa huku mkuranga kijij cha kisemvule,,kinazalisha cement bora yenye viwango vya kimataifa.ila bado maeneo yanyozunguka kiwanda hayajachangamka kuhimii mahitaj ya wafanyakazi waliopao na wageni wanaokuja kiwandani,kwan pia katika huo uonda kuna viwanda vingi sana na vikubwa ,
Mbona sijasikia wakitangaza ajira n.k au ni kiwanda cha magumashi?
Kiwanda kipya cha cement jaman chapa RHINO kimefunguliwa huku mkuranga kijij cha kisemvule,,kinazalisha cement bora yenye viwango vya kimataifa.ila bado maeneo yanyozunguka kiwanda hayajachangamka kuhimii mahitaj ya wafanyakazi waliopao na wageni wanaokuja kiwandani,kwan pia katika huo uonda kuna viwanda vingi sana na vikubwa ,
hizo ndo fursa ambazo nazizungumzia wnajamvi hapa jamvini...frem zipo sema muitikio wa watu kuwekeza ni mdogo sana japo sasa angalau kuna watu waminuka,wanaweka hata sheli karibu so hpe soon mdau hali itajkua poa na
Mkuu kwani zimekuwa karanga hizo?mtugawie ya kuonja
Kuna upuuzi umeanza maeneo yale, viwanja/mashamba yamepanda bei kiasi ambacho wawekezaji wachanga hawawezi kumudu kununua maeneo yale na kuwekeza. Wachina/waarabu wamechafua bei kiasi kwamba pale Kisemvule kupata eka moja ni ghari sana kuliko Tegeta.