Kiwanda kipya cha cement kimefunguliwa mkuranga,wanajamii tutumia iyo fursa kibiashara

Troojan

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
967
Reaction score
675
Kiwanda kipya cha cement jaman chapa RHINO kimefunguliwa huku mkuranga kijij cha kisemvule,,kinazalisha cement bora yenye viwango vya kimataifa.ila bado maeneo yanyozunguka kiwanda hayajachangamka kuhimii mahitaj ya wafanyakazi waliopao na wageni wanaokuja kiwandani,kwan pia katika huo uonda kuna viwanda vingi sana na vikubwa ,
 
so what???
 
hujaelewa nlichokisema au what what?
 
Nakifahamu, vipi wameanza uzalishaji tayari na kwa kiwango gani i.e tones/day
 
Mbona sijasikia wakitangaza ajira n.k au ni kiwanda cha magumashi?
 
Kiwanda kipya cha cement jaman chapa RHINO kimefunguliwa huku mkuranga kijij cha kisemvule,,kinazalisha cement bora yenye viwango vya kimataifa.ila bado maeneo yanyozunguka kiwanda hayajachangamka kuhimii mahitaj ya wafanyakazi waliopao na wageni wanaokuja kiwandani,kwan pia katika huo uonda kuna viwanda vingi sana na vikubwa ,
mtugawie ya kuonja
 
Mbona sijasikia wakitangaza ajira n.k au ni kiwanda cha magumashi?

Wametoka na wafanyakazi wao kenya. wanaogopa kuibiwa. nyinyi vijana wa bongo mnasifika kwa kupiga. mmezoea kuiba, kufanya kazi kidogo/kwa uvivu, jioni samaki samaki pale mlimani city mnakula gambe, kesho mnaamka na hang-over, kazi zinakuwa haziendi...
 
Kiwanda kipya cha cement jaman chapa RHINO kimefunguliwa huku mkuranga kijij cha kisemvule,,kinazalisha cement bora yenye viwango vya kimataifa.ila bado maeneo yanyozunguka kiwanda hayajachangamka kuhimii mahitaj ya wafanyakazi waliopao na wageni wanaokuja kiwandani,kwan pia katika huo uonda kuna viwanda vingi sana na vikubwa ,

Vipi kuna frame huko za kupanga ofisi?
 
haa wadau hakuna kitu kama hiko,wamekuja na wafanya kazi wao kutka kenya kwa ajiri ya kushare experience to na kuna wbongo wengi tu ambao ndani ya miezi sita watakabithiwa majukumu ya idara mbalimbali,maswla ya gambe ni sehemu ya starehe dunia nzima,hata hao wakenya na wahindi wanpiga gambe saana tu na kula bata,hiki kiwanda ni kipya so wanaopata kazi kwa sasa wengi ni vijana wakitanzania wasio kua ana ujuzi,so wanapata training kabla ya kukabidhiwa mikoba.kiwanda kwa saa kinafanya vizuri sana katika soko la cement bongo..
 
hizo ndo fursa ambazo nazizungumzia wnajamvi hapa jamvini...frem zipo sema muitikio wa watu kuwekeza ni mdogo sana japo sasa angalau kuna watu waminuka,wanaweka hata sheli karibu so hpe soon mdau hali itajkua poa na
 
kimeanza mwezi wa tisa mwishoni kuzalisha na kinatoa 1000mt per day bt makadilio yake ni kutoa 2500mt per day ,so mda ukizidi kwenda na wateja wakiitaji zaidi basi n auzalisha utaongezeka hadikufiia lengo hilo
 
hizo ndo fursa ambazo nazizungumzia wnajamvi hapa jamvini...frem zipo sema muitikio wa watu kuwekeza ni mdogo sana japo sasa angalau kuna watu waminuka,wanaweka hata sheli karibu so hpe soon mdau hali itajkua poa na

Kuna upuuzi umeanza maeneo yale, viwanja/mashamba yamepanda bei kiasi ambacho wawekezaji wachanga hawawezi kumudu kununua maeneo yale na kuwekeza. Wachina/waarabu wamechafua bei kiasi kwamba pale Kisemvule kupata eka moja ni ghari sana kuliko Tegeta.
 
Its an opportunity kwa wajariamali kusupply mchanga,na other raw materials,cleaning,supplies,etc nilsihaaply wazo nikapigwa chini kulikuwa na wazoefu wengi na wapo vizuri zaidi kwa hicho kinachoanza ni oportunity nzuri ya kuanza nao
 
ilo unalilizungumzia ni kweli mdau,unaju maeneo haya yalisahaulika sana katika swala zima la uwekezaji,sasa now yamekua verry potential na yanwekew miundi mbinu mizuri kwa watu kuwekeza,ardhi imepanda bei saana,sema inajilipa na inaendana na thamani yake,ch himu ni kuwai kupata ardhi ka sasa maeneo ya jirani,waarabu wahindi na wapemba ndo wamepadominet sana kama unavyosema na wanawekeza kweli kweli ktk viwanda na yard kubwa kubwa so after few year patakua kama ukawanda wa viwanda na uwekezaji,bado fursa ni nyingi sana
 
Mkuu Chimuvu, wazo lako ni zuri sana lifanyie kazi mapema.
 
Kuna upuuzi umeanza maeneo yale, viwanja/mashamba yamepanda bei kiasi ambacho wawekezaji wachanga hawawezi kumudu kununua maeneo yale na kuwekeza. Wachina/waarabu wamechafua bei kiasi kwamba pale Kisemvule kupata eka moja ni ghari sana kuliko Tegeta.

eka moja ni sh ngapi Malila?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom