Kiwanda kipya cha cement kimefunguliwa mkuranga,wanajamii tutumia iyo fursa kibiashara

eka moja ni sh ngapi Malila?

Kuanzia pale Kisemvule,Kibamba, Mwanambaya,Dundani inabidi uwe na kiasi kisichopungua 25M mpaka 40M kwa vile vya barabarani vinavyopakana na viwanda, wenye mashamba kupitia madalali feki wanapayuka tu, lakini ukiruka mita kadhaa nyuma ya barabara unapata kwa bei poa kabisa, mpaka laki tano kwa eka. Tatizo eneo lote kuanzia Kongowe halijapimwa,sasa unaweza kununua nyuma/ndani ndani kwa bei poa halafu baadae ukakosa njia au huduma muhimu.
 
nitafuteni niwauzie kiwanja mkuranga jamani,,mtakuja kujilaumu baadae
 
sasa sijui tununue viwanja wapi,wengine wanasema nunua bagamoyo,wengine mtwara,wengine,kilwa sasa na nyie mmekuja na yenu ya mkuranga!!
 
hawa Rhino, bei ya sement yao ni sh 14,000 wakati simba na twiga ni sh 15,000, cement hii imeona Morogoro hadi Iringa

Pia kiwanda hiki kinajengwa kingine Tanga pale palipokuwa kiwanda cha Chokaa just after kiwanda cha Simba. Inasemekana pia kuwa kile cha tanga kitakiwa kiwanda kikubwa kuliko vyote vya cement EA,
 
So hicho kiwanda kimechangia vipi in terms of price competition? I expect price reduction if not then it is meaningless
 
kuna ofa za ufunguzi?,bei imeshuka walau elf12 per bag au ndo bei zile zile utafikiri malighafi zinatoka somalia
 
ooh! Ahsante kwa taarifa..
 
sasa sijui tununue viwanja wapi,wengine wanasema nunua bagamoyo,wengine mtwara,wengine,kilwa sasa na nyie mmekuja na yenu ya mkuranga!!

Nunua ktk residential areas sio ktk industrial areas.

Kama ww ni mwekezaji mtarajiwa ktk sector ya viwanda basi katafute huko. Viwandani kuna hewa chafu kuishi na familia yako.
 
Nakumbuka Wazo kipindi lile tulikukataa kwa ajili hiyo ya "....eti risk of cancer",sasa hivi nikipita pale najuta,enzi zile ilikuwa unajiokotea tuu.
 
Mkuranga bila shaka ni mkoa wa pwani,
hope ni maendeleo makubwa haya,
nami nitasogea huko kwani nina vieneo huko pwani,
naamini ujenzi utakuwa rahisi kidogo.
 
Nunua ktk residential areas sio ktk industrial areas.

Kama ww ni mwekezaji mtarajiwa ktk sector ya viwanda basi katafute huko. Viwandani kuna hewa chafu kuishi na familia yako.
Thanks mkuu
 
kuna ofa za ufunguzi?,bei imeshuka walau elf12 per bag au ndo bei zile zile utafikiri malighafi zinatoka somalia
Sasa hivi Cement inauzwa 13500/= maeneo ya Kongowe na Vikindu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…