Kiwango cha elimu cha Maulid Kitenge?

Hafu kakuzidi hata kwa Mkwanja.
Usiwe na mawazo mgando. Jali sana heshima kuliko ukwasi. Ukipata habari za hawa matajiri jasho litakutoka hasa hivi vijana vya siku hizi wengi upinde wa mvua ndio sehemu zao za kupatia maisha. Hapo ulipo furahi kipato chako. Zama zile kulikuwa na mzee mmoja maarufu sana akifanya kazi PPF akaja ATCL kafumua sana vijana marinda kwa tamaa zao.
 
Mume wa Defoe? Hadi alilazwaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sahiv wazee wa mjengoni wana waharibu vijana wa chuo, had huruma mweeeeh.
 
Kufatilia Maisha ya Watu itakusaidia nini badala ya kutafuta hela!!!

Ni Mufi kama wewe ndo wanatabia za kufatilia Maisha ya Watu...!
 
Kufatilia Maisha ya Watu itakusaidia nini badala ya kutafuta hela!!!

Ni Mufi kama wewe ndo wanatabia za kufatilia Maisha ya Watu...!
Kuchangia tu huku unafuatilia maisha. Nisije kuwa nabisha na Maiko skof bure maana unajiita powder. Mimi nina hela zangu zinanitosha sana sitaki ukwasi wa kupeleka mwili Uturuki na Msrekani ili uwe tajiri. Acha papara.
 
Bongo mambo yakiwa yanakuendea poa wataanza kuchokonoa chanzo chako,

Elimu ni tofauti kabsa na kiwango chako cha uchumi havihusiani

Kuweza kufanikisha mambo yako na elimu ni vitu viwili tofauti

Mwacheni mwamba aendelee kung’aa kapambana na bado anapambana sanaa.

Nakumbuka alipangaga nyumba kinondoni, watoto wa kino wakamuibiaga,

Pambana brother, bongo ukifanikiwa watakuita sio ridhiki mara una uchawi mara muuza dawa ilimradi tu hawawezi kukufikia kwa chochote maneno ndio nafasi ya kuwatoka
 
Mjukuu mke wake kashaanza kuliwa na wana aiseee duh mbona mapema sana
 
Kuchangia tu huku unafuatilia maisha. Nisije kuwa nabisha na Maiko skof bure maana unajiita powder. Mimi nina hela zangu zinanitosha sana sitaki ukwasi wa kupeleka mwili Uturuki na Msrekani ili uwe tajiri. Acha papara.
Pesa huna wewe.......Mtu mwenye pesa anapata wapi Ujinga wa kuuliza habari za Maisha ya Mtu mwingine, Maulidi sio Mtumishi wa Umma wala sio Mwanasiasa!

Na hizo story zenu za kwenye Vijiwe vya kahawa zinafanya muendelee kuwa Masikini kwa kuamini huwezi kupata pesa bila ya kuwa Punda, kila mtu mwenye pesa ni ama Punda ama Freemason ama Illuminati!

Wewe check na issue zako, achana na Maisha ya Watu.
 
Mume wa Defoe? Hadi alilazwaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sahiv wazee wa mjengoni wana waharibu vijana wa chuo, had huruma mweeeeh.
Wanawavua ubingwa?
 
Hata huyu mkewe alirudi kwao, ila alibembelezwaa atulie kulinda heshima ya mumeweee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dunia ina mengiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake na nyie mnapitia mengi jamanπŸ˜…

Unajua kabisa mumeo ana demu wake nje na ndo mke mwenzio ila cha ajabu na kuchekesha huyo mke mwenzio ni mwanaume mwenzie.. *****! πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ™ŒπŸΎ
 
mfano rahisi yule wa silent ocean na kaka yake GSM...

Nasikia ukiona pisi kali pale ujue ishaliwa hali kadhalika kwa jinsia kinzani yaan (ME) na wao wanaliwa kama kawa pale ndo wanapata vitengo πŸ˜…πŸ™ŒπŸΎ
 
Jibu swali la mtoa mada. Ana Kiwango gani cha elimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…