Kiwango cha elimu cha Maulid Kitenge?

Kiwango cha elimu cha Maulid Kitenge?

Yeah huyo huyo mjukuu WA babu yetu. Huyo alifumaniwa na demu kabisa(sijui mkewe) . Wako sitting room na jamaa mmoja hivi maarufu maana aliwaacha wakicheza haya fifa games saa 2 fulani usiku. Dada WA watu kuamka saa 6 hamuoni jamaa bed si ndio akajisogeza sitting room anawakuta wanakulana mate. Ilikuwa kesi kubwa... Sema ikaisha kimya kimya ndio demu nae akawa analiwa na huyu Jamaa anaekti movies sijui huba mwanamuziki anayeimba Fasta fasta........na ni msela WA mjukuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila huyu mjukuu sijui alianza lini haya MAmbo alikuwa frsh tu. Tume Cheza nae sana soka mtaani mwenge.
Dahh!... yaan mwamba una mke ndani unaenda kulila mate pelo! Unalila mate dume lenzio... yaan ndevu kwa ndevu😔😔😔

Dahh! *****!... wife ka-revenge anaenda kuliwa kote na mbongo muvi😔
 
Wabongo noma sana. Pamoja na yote, msisahau kumpa mshkaji maua yake akiwa hai. Nadhani anastahili heshima ya kuleta mapinduzi kwenye vipindi vya michezo. Alitisha sana kipindi cha michezo Radio One enzi hizo, kidogo wengine tushawishike kuwa watangazaji kwa sababu yake.
Hata kama una respect kubwa kiasi gani kwenye career yoyote maishani. Zikianza fununu za design hiyo juu yako aidha za kweli au sio za kweli lazima kuna mambo mengi yatapungua juu yako.

Na kwann uzushiwe wewe?!
 
Tusimbeze bana
Ukweli ni kwamba hana elimu kubwa sana ila elimu yake alijiongeza ukubwani na hizi short courses na awards zinatosha hizo. Ahsante
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni mzungu bhanaaa, Jux kaachwa na Vee alikuta text zake na yule wa kisiwani,

Pia Jux na Vee walisha wahi share kwa bwana m1 ambaye ni mzee wa Mjengoni, ilikua 2017 had waliachana na kuombana radhi hadharan Fiesta Dar,. Ambapoo Moro alikataliwaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Jux anacheza rolle zote.

Hatareeeee tupuuuu.
Bora kufa lofa kuliko dume zima kuchakatwa na madume menzio 😅🙌🏾
 
Mimi nina jamaa zangu wengi hawajasoma, lakinii leo hii wanapesa na wengine wameajiri wenye degree zao. Kwahiyo kusoma sio kutajirika bali kutoa ujinga na sio kustaarabika. Kuna wasomi lakini wengi wao ustaarabu ni ZERO.
Hatuzungumzii usomi hapa mzee unacheza faulo sasa... we mzee vipi?!

Utajiri una secret kubwa sana mzee baba. Wasifie tu ila walioyafanya wanajua wenyewe 😊👍🏾
 
Yeah huyo huyo mjukuu WA babu yetu. Huyo alifumaniwa na demu kabisa(sijui mkewe) . Wako sitting room na jamaa mmoja hivi maarufu maana aliwaacha wakicheza haya fifa games saa 2 fulani usiku. Dada WA watu kuamka saa 6 hamuoni jamaa bed si ndio akajisogeza sitting room anawakuta wanakulana mate. Ilikuwa kesi kubwa... Sema ikaisha kimya kimya ndio demu nae akawa analiwa na huyu Jamaa anaekti movies sijui huba mwanamuziki anayeimba Fasta fasta........na ni msela WA mjukuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila huyu mjukuu sijui alianza lini haya MAmbo alikuwa frsh tu. Tume Cheza nae sana soka mtaani mwenge.
Hata huyu mkewe alirudi kwao, ila alibembelezwaa atulie kulinda heshima ya mumeweee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dunia ina mengiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila na yeye ndo akaamua kupigika nje kwa sana. Hawa vijana wetu WA hii entertainment industry sijui Wana Pepo gani. Yaani hiyo group ya Jux na Hao wenzake ukiona msela kajiunga hapo basi jua Hakuna kitu
 
Wenyewee wanaitaaa "The Classic Crew" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwenye kujua kiwango cha juu kabisa cha Elimu ya Mtangazaji Nguli Maulid Mbaraka Kitenge atujuze.
NB: Hapa usitaje elimu ya dini, nazungumzia elimu hii ya dunia.
Darasa la Saba Mauldi Baraka Kitenge ni mpambanaji ambaye aliingia sokoni kwa kushiriki sana kuuliza maswali katika kipindi cha Mada Moto cha Pascal Mayala miaka hiyo. Huku akijifunza kuandika habari za michezo katika gazeti la Cheka ambalo lilikuwa Kidongo chekundu akaibukia Radio One akiinga sauti ya Aboubakary Liogo na kuinga miondoko ya Angetile miaka hiyo akiandikia the Guardian...kifupi sio mwandishi ni mjanja tu. Nitafutie clip yoyote ambayo kahoji mtu kwa lugha ya Kiingereza. Marehemu Ndolanga alikuwa anampa ukweli.
 
Back
Top Bottom