Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Dahh!... yaan mwamba una mke ndani unaenda kulila mate pelo! Unalila mate dume lenzio... yaan ndevu kwa ndevu😔😔😔Yeah huyo huyo mjukuu WA babu yetu. Huyo alifumaniwa na demu kabisa(sijui mkewe) . Wako sitting room na jamaa mmoja hivi maarufu maana aliwaacha wakicheza haya fifa games saa 2 fulani usiku. Dada WA watu kuamka saa 6 hamuoni jamaa bed si ndio akajisogeza sitting room anawakuta wanakulana mate. Ilikuwa kesi kubwa... Sema ikaisha kimya kimya ndio demu nae akawa analiwa na huyu Jamaa anaekti movies sijui huba mwanamuziki anayeimba Fasta fasta........na ni msela WA mjukuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila huyu mjukuu sijui alianza lini haya MAmbo alikuwa frsh tu. Tume Cheza nae sana soka mtaani mwenge.
Dahh! *****!... wife ka-revenge anaenda kuliwa kote na mbongo muvi😔