Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Hivi kwanini tunaendelea na kigezo cha kujua kusoma na kuandika kwa wanasiasa ambao baadae wanakuja kushika nafasi kubwa ambazo zinahitaji mtu awe na upeo na mkubwa?
Huku ndio tunapata watu ambao ukiwawekea kengele tu kule mbele wanakuwa kama nyumbu bila kujali lolote. Tunakazana na walimu kuwa na taaluma ili kuja kupata watu wenye ujuzi katika mambo mbalimbali lakini anakuja kuongozwa na mtu anayejau tu kusoma na kuandika!
Mtu anakuja kupewa Wizara ya madini lakini ana knowlege 0 kuhusu madini, anashika wizara nyeti kama Wizara ya Afya, lakini utaalamu kwenye sekta hiyo ni 0! Na wajinga wakiwa wengi huko juu, wenye akili huku chini ni kama sindano kwenye Mchanga!
Najua mtakuja kutolea mfano wa Dr. Mwigulu Nchemba, ila huku ukweli ni kwamba sisi ndio tunawachagua hao, au hatuwachagui na kutegemea wengi wajinga ndio wachague wenywe uwezo!
Ni mwendo wa kuendelea kububujikwa na machozi hata mtu akigarauka!