Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay. NotedF4 FAILURE
Toka nje ya boksi coz dunia inahama huko kwani imeanza kujulikana kuwa na shahada haimanishi wewe una akili wala ujuzi.kiwango cha juu cha ELIMU ya huyu
Bado hujaelezea kiundani zaidi. Original ni sera ya biden, focus ilikuwa kuna ombwe kubwa kwamba skilled labour wanapungua kwa kasi kubwa sababu wengi wanakimbilia degrees, leaving gape kubwa katikati. So ni attempt ya ku level the fieldToka nje ya boksi coz dunia inahama huko kwani imeanza kujulikana kuwa na shahada haimanishi wewe una akili wala ujuzi.
Halafu elimu yenyewe ya Tanzania! Wewe na elimu yako,una mzidi nini Zembwela ukitoa sifa, kejeli na dharau??
Kamala Harris says she will cut degree requirements for certain federal jobs
WILKES BARRE, Pennsylvania, Sept 13 (Reuters) - U.S. Vice President Kamala Harris said on Friday she will cut college degree requirements for certain federal jobs if elected president as the Democratic presidential candidate
A degree does not necessarily indicate a person's skills, Harris said. She added: "And I will challenge the private sector to do the same."
September 14, 20241:33 PM GMT+3.Updated 23 days ago
Sijui kwa nini kawa mkali hivyo? Si angemjibu kwa upole muuliza swali? Kwani kuuliza ni ujinga jamani?Bado hujaelezea kiundani zaidi. Original ni sera ya biden, focus ilikuwa kuna ombwe kubwa kwamba skilled labour wanapungua kwa kasi kubwa sababu wengi wanakimbilia degrees, leaving gape kubwa katikati. So ni attempt ya ku level the field
Dada Joannah naomba usichanganye shule yetu na watu wajinga wajinga ,tutagombanaLa saba C Mgulani primary school...kwani kuna shida?
Kweli bana,Kuna Dr (PhD) holder alilia Moro pale baada ya kutumbuliwa,Kuna professor alimwita magu Mungu baba, Kuna mapro wengi waliteuliwa kwenda kuwa wakuu wa wilaya wakaacha kufanya tafiti za maana, Kuna wale wamejaa bungeni wanaofanya bunge kama mijadala ya watoto shuleni, wasomi ndio hao na hawana impact, tufikie sehemu tuangalie matokeo yanyotokana na talents za watu siyo elimu, coz humu kwetu elimu ni kama pambo tu , Haina tija kwa taifa,hata wanaofanya vizuri na Wana elimu wamechagizwa na uwezo binafsi zaidi
Wewe mwenye ya chuo ukafika wapi? Humgusi nukta japo yuko off saa nyingine ....ametumia alicho nacho kufika alipo....anakojolea pazuri analala pazuri chooni hakuoti jani...ana connection ya watu wakubwa wewe vp?F4 FAILURE
Hawa wasanii wakishafika kwenye redio wanajiongeza na elimu za jioni ,hivi unaweza kuamini kwamba Dr Kumbuka ana Degree ya Mass Communication? Usione ukadhani Fitina titi la paka halifai kwa mtindi.Mwenye kufahamu kiwango cha juu cha ELIMU ya huyu mtangazaji/ Msanii Nguli tafadhali
Huyo tumpeleke shule ya msingi keko Magurumbasi ,ndiyo watu wa aina yake wanakozalishwaKwani si ndio alikuwa anasoma huko?au tumuhamishie Wailes?