Kiwango cha juu cha ELIMU ya Zembwela

Kiwango cha juu cha ELIMU ya Zembwela

Kweli bana,
miradi mingi inafeli, inajiendesha kwa hasara na waliopo pale ni Wasomi.
Na ukiomba vyeti vyao, wanakuja navyo kwa msaada wa Toyo
Matokeo sasa!!!
Wengine wanaishia kujigalagaza tu mavumbini na phd zao 😁! Hapo sasa tuna msaada gani na usomi wao!
 
Kweli bana,
miradi mingi inafeli, inajiendesha kwa hasara na waliopo pale ni Wasomi.
Na ukiomba vyeti vyao, wanakuja navyo kwa msaada wa Toyo
Matokeo sasa!!!

Kwenye kazi maBOSS wanazingatia sana performanance/vipaji na si MIVYETI ,Zembwela naoana yupo vizuri sana kwenye utangazaji ,wewe pamoja na mivyeti vyako ukiwashiwa MIC uende hewani utaunya unya na madegree yako yote.

Ninajua Zembwela atakuwa amejiendeleza kielimu kama alivyijiendeleza Dr Kumbuka mpaka kuwa na Degree ya IJMC.
 
Radio nyingi za bongo hazina contents nzuri, hazina ueledi na zimejaa watangazaji vilaza
 
La saba C Mgulani primary school...kwani kuna shida?
Hakuna shida Dada.
Unaweza ukawa na PhD still ukabaki ukaonekana ni Mpuuzi tu. Watu huwa wanaangalia una output gani kwenye Jamii, mtu kama Diamond au Mr Blue huwa hatuulizii elimu zao
 
Hawa wasanii wakishafika kwenye redio wanajiongeza na elimu za jioni ,hivi unaweza kuamini kwamba Dr Kumbuka ana Degree ya Mass Communication? Usione ukadhani Fitina titi la paka halifai kwa mtindi.
Elimu za ukubwani hazibadili(gi) ubongo sana,hasa KWA ambaye tangu enzi zake udogoni hakuwa mtamu darasani
 
Back
Top Bottom