Kiwango cha mafuta mwilini

Kiwango cha mafuta mwilini

Benokolongokonongose

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
213
Reaction score
52
Habarini zenu!
Naomba kujua jinsi ya kupima kiwango cha mafuta mwilini. Kuna mtu kasema kuwa unatumia tape measure ila maelezo yake hayaingii akilini. Anasema unapima shingo,kiuno,hips,tumbo,urefu. Unajumlisha zote unagawa kwa nusu ya kila namba. Msaada tafadhali naona yeye ni mbabaishaji. Asante. Wenu,
Benokolongokonongose
 
utafiti unaonyesha wewe ndio member mwenye ID kubwa kuliko wote hapa jf
 
Last edited by a moderator:
czan kama ana mpinzani wa jina refu lakn chaajabu kashndwa kujua mafuta yake.au jina linamzidi uzito huyu
 
Kweli ID zingine KAZI TUNAYO!Tumia tape measure kupima:
1. Urefu wako 2.kifua 3.kiuno 4.hips zako 5. Shingo 6.kifua
Kama ni mwanaume kipimo namba nne hakikuhusu. Kwenye simu yako kama kuna health calculator ingiza vipimo hivyo katika vyumba husika. Click calculate. Click suggestion.
Kama huna health calculator weka vipimo tajwa hapa. Karibu
 
We pastor nahisi muongo! Sasa hiyo tapemeasure inahusikaje na maswala ya mafuta mwilini?Aisee hizi tiba mbadala sasa kazi ipo!
 
Back
Top Bottom