Kiwango cha Mishahara Walimu Wapya

Kiwango cha Mishahara Walimu Wapya

Kuna siledi ya mishahara ya Serikali, ina maana tunakosea? Mbona mishahara ya bunge kila leo tunaisikia?

kijanaaa.. acha utata... its better akaenda ofisi ya utumishi katika halmashauri iliyo karibu naye akaombe waraka wa mishahara wa kada za utumishi wa umma
 
walimu wa cheti wanaanza na Tgts B na wanapanda hadi Tgts G deploma wanaanza na Tgts C na wanapanda hadi Tgts H degree wanaanza na Tgts D wanapanda hadi Tgts I hii ni kulingana na walaka mpya cheti na deploma wameongezewa madaraja mawili degree wao wameongezewa daraja moja tu
 
Back
Top Bottom