Kiwango cha mshahara wa wakuu wa idara

Kiwango cha mshahara wa wakuu wa idara

idara ni kama wizara kule serikali kuu, wawakilishi wa wizara kwa halmashauri,
Nimeelewa kumbe kuna wakuu wa idara halafu kuna afisa elimu taaluma, afisa elimu takwimu, afisa elimu utamaduni etc. Mwanzo nilidhani hawa maafisa ndio wakuu wa idara
 
Usichanganye mkuu kuna Mkuu wa Idara, Mkuu wa Kitengo , Mkuu wa Sehemu

Mkuu wa Idara anakula 3.4 . Hapo bado kuna posho posho za vikao, hela ya furniture, mafuta, simu, nyumba
 
Utofauti wao ukoje mkuu wa idara na afisa elimu taaluma?
Mkuu wa Idara ya Elimu msingi au mkuu wa Idara ya Elimu secondary ndio mkuu na wale maafisa elimu wote yaani afisa elimu taaluma , afisa elimu watu waxima, afisa elimu vifaa etc . Katika Halmshauri au township , MC au CIty council . Wakuu tuu wa Idara ndio wenye special salary yaani LSEE ya 3.4 million. Kuna Mganga Mkuu yaani DMO, afisa kilimo ushirika na umeagiliaji, afisa mifugo na uvuvi, District treasurer (mtunza hazina), afisa elimu secondary, afisa elimu msingi etc .
 
Habari ndugu watanzania. Ni imani yangu kuwa mu buheri wa afya.

Katika mfumo wa uongozi wa elimu huwa kuna afisa elimu (mkoa, wilaya) ambapo chini yake wanakuwepo wakuu wa idara mbalimbali mfano, idara ya taaluma (afisa elimu taaluma), idara ya takwimu (afisa elimu takwimu) etc.

Naomba kujua kiwango cha mshahara wanachopata hawa watu. Pia ningependa kufahamu upatikanaji wa hivi vyeo, ni mamlaka ipi inayohusika na uteuzi wa hawa watu?

Msaada tafadhali.
Kwa idara ya Elimu Mkuu wa idara ni moja tu nae ni Afisa Elimu hao wengine sijui taaluma au takwimi ni vijisection ndani ya idara na hawana mishahara ya uongozi isipo kuwa Afisa Elimu (DEO) hupokea kitita cha 3M na pesa kwa mwezi na motisha kadhaaa kama pesa ya pango nadhani 600K, Simu 120K, Samani 15M kila baada ya miaka mitano na kadha wa kadhaa.

Anapatikana baada ya mchakato wa upekuzi, anaweza kuwa mwalimu yeyote tu mwenye cheo cha uandamizi na kuendelea.
 
Dah ila serikalini bhana...mi private sector hiyo salary nilikuaga napata 6 years ago kama net salary. Gross ilikua 5 na tulikua tunaona normal
Kilimo kinaendeleaje mkuu?
Screenshot_20220204-035550.jpg
 
Dah ila serikalini bhana...mi private sector hiyo salary nilikuaga napata 6 years ago kama net salary. Gross ilikua 5 na tulikua tunaona normal
Basi wewe ulibahatika. , Hakuna sehemu ya kijinga kama kufanya kazi private sector, hakuna nyongeza ya salary, hakuna promotion ( hadi wajisikie) hakuna job security , halafu ukimchukua mfanya kazi wa serikali na private , mfanyakazi wa serikali anakuwa wa hovyo miaka ya mwanzo tu, then miaka inaposogea anakuwa na maisha mazuri zaidi kumzidi huYu wa private
 
Dah ila serikalini bhana...mi private sector hiyo salary nilikuaga napata 6 years ago kama net salary. Gross ilikua 5 na tulikua tunaona normal
Tupe konekisheni mkuu..huku serikalini watu wanashindana kwenda kukopa benk tu..akitaka kununua kiwanja...gari..kujenga..kusomesha watoto ni mikopo mitupu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Utofauti wao ukoje mkuu wa idara na afisa elimu taaluma?
Kuna Afisa elimu taaluma ana salary ndogo kuliko mwalimu asiye na cheo

Afisa elimu taaluma ngazi ya salary tgtsG

Mwalimu wa kawaida ngazi ya mshahara TgtsH(Muda mrefu kazini)
 
Mkuu wa Idara ya Elimu msingi au mkuu wa Idara ya Elimu secondary ndio mkuu na wale maafisa elimu wote yaani afisa elimu taaluma , afisa elimu watu waxima, afisa elimu vifaa etc . Katika Halmshauri au township , MC au CIty council . Wakuu tuu wa Idara ndio wenye special salary yaani LSEE ya 3.4 million. Kuna Mganga Mkuu yaani DMO, afisa kilimo ushirika na umeagiliaji, afisa mifugo na uvuvi, District treasurer (mtunza hazina), afisa elimu secondary, afisa elimu msingi etc .
Afisa Utumishi wa wilaya vipi sio mkuu wa (DHRO)?
 
Mkuu wa Idara ya Elimu msingi au mkuu wa Idara ya Elimu secondary ndio mkuu na wale maafisa elimu wote yaani afisa elimu taaluma , afisa elimu watu waxima, afisa elimu vifaa etc . Katika Halmshauri au township , MC au CIty council . Wakuu tuu wa Idara ndio wenye special salary yaani LSEE ya 3.4 million. Kuna Mganga Mkuu yaani DMO, afisa kilimo ushirika na umeagiliaji, afisa mifugo na uvuvi, District treasurer (mtunza hazina), afisa elimu secondary, afisa elimu msingi etc .
Asante kwa ufafanuzi huu
 
Dah ila serikalini bhana...mi private sector hiyo salary nilikuaga napata 6 years ago kama net salary. Gross ilikua 5 na tulikua tunaona normal
Wewe serikalini hawaishi kwa mshahara kama private sector, hawa wanamalupulupu kibao, wanalipiwa mfano, hela ya nyumba, matumizi ya simu, umeme na maji, samani za ndani. Hapo bado semina, warsha na kadhalika. Halmashauri kila kikao wanaposho.
Wakuu wa idara wanasafiri sana nje ya wilaya au mkoa, malipo ya hapo usipime.

Wewe hicho kimilioni 6 chako mwenzako anakipata kwa wiki, wewe unasubiria mwezi. Serikalini watu wana hela hasa hao wakuu wa idara. Ndo maana wengi wanachezea fedha, na nimatajiri wakubwa. Wakati wewe ukiangaika kubana matumizi na vimilioni vyako 6.
Jiulize tu madreva wengi serikalini wanafedha nzuri tu. Ila mishahara unaweza ukacheka. serikalini awaangalii mishahara!
 
Mkuu umemwambia kwa hisia kali sana lol!!!
 
Fanya ujasilimali ndugu mshahara hautoshi
 
Back
Top Bottom