Kiwango cha mshahara

venance H

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
41
Reaction score
24
NDG wanajf kiwango cha mshahara kwa mtu mwenye masters ni sh ngapi? kama bado anafundisha shule ya msingi au sekondari.
nawasilisha
 
katika ualimu wa serikali hakuna kiwango kinachoonesha mshahara wa mwenye masters
 
kama hakuna kiwango cha mshahara kwa watu wenye msters, kwa nini walimu wengi wanazidi kujiendeleza kielimu hadi ngazi ya masters, wanategemea nini baadae
 
hivi hata mie huwa inanisumbua,kwann sasa usome masters ya education?
 
kama hakuna kiwango cha mshahara kwa watu wenye msters, kwa nini walimu wengi wanazidi kujiendeleza kielimu hadi ngazi ya masters, wanategemea nini baadae



Lengo la kujiendeleza kielimu ni zaidi ya kipato, unaongeza uelewa wako kwa manufaa yako na jamii kwa ujumla. Hilo la kipato ni sehemu ndogo tu ya malengo. Watu wenye mawazo kama ya kwako ndo wanatuongezea elimu za kwenye makaratasi. Ndio maana unakuta mtu ana CV nzuri lakini utendaji ziro.
 
kwan ngaz ya mshahara H inapatkana vp kama huna masters? hiyo ndiyo faida ya masters pia upachikwaji wa vyeo ni kugusa tu, wachezea masters wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…