Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa...kuna viwango vya Cheti, Diploma na Shahada ya Awalikatika ualimu wa serikali hakuna kiwango kinachoonesha mshahara wa mwenye masters
kama hakuna kiwango cha mshahara kwa watu wenye msters, kwa nini walimu wengi wanazidi kujiendeleza kielimu hadi ngazi ya masters, wanategemea nini baadae