Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Wakati natafakari hayo najiuliza zaidi. Je, Ulaya na Hususan UK Premier League inadumaza viwango vya Mpira Sehemu Nyingine?
Kulikuwa na wakati nchi tofauti zina vionjo tofauti, Afrika Nguvu na Showboating, Brazil Ginga Football n.k.; Nilisoma article moja ya Academy huko Brazil kwamba sasa hivi vijana wote ambao walikuwa wanajifunzia mitaani aina yao ya soka (Ginga) sasa hivi academy zinawafundisha na kuwatayarisha kwa ajili ya Soko la Ulaya. Kwahio template imekuwa ni kujifunza ili uweze kucheza Ulaya. Mtu kama Neymar kuna kipindi watu walimjia juu kwanini anafanya showboating na kuaibisha wenzake badala ya kutoa pasi haraka.
Ingekuwa enzi zile National Al Ahly ipo katika Peak huenda Mo Salah angekuwa anawachezea na asingekuwa Liverpool (ingawa ni bora kwa kuitangaza Egypt) kwa yeye kuwa Liverpool lakini nikichukua case study ya wachezaji wengine lukuki inaleta picha isiyopendeza.
Kuna Talent za kumwaga zinanunuliwa na hizi Big Teams za huko Ulaya / UK na kutumia muda wao mwingi wakiwa wamekaa Bench. Talent hizi huenda zingekuwa kwao zingeweza kufanya makubwa kwa Timu zao. Au ni bora kukaa mkeka ulaya na kupata kitita kikubwa kuliko kupata playtime kwenu kwa kitita kidogo?