Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kuna yule mpumbav aliyecheza kamali akaliwaNdio dunia inakokwenda, pona yenu nyie media zenu za Tanzania huwa zimelala hawataarifu matukio...
Kwa mfano naona hapa jana daktari Tanzania amempiga nyundo mpenzi wake
Daktari amuua mpenzi wake kwa kumpiga nyundo kichwani hadi ubongo kumwagika
eshi la polisi linamshikilia Daktari wa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania (Red Cross), Albert Rugai wa kambi ya wakimbizi ya Nduta wilaya Kibondo kwa kosa la kumuua mpenzi wake Ester Konda (42) kwa kumpiga na nyundo kichwani.
Daktari huyo baada ya kufanya tukio hilo na yeye alifanya jaribio la kutaka kujiua ikashindikana.
Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa polisi mkoa wa Kigoma, alisema kuwa Ester Konda aliuliwa na mpenzi wake kwa kupigwa na nyundo kichwani.
“Alimpiga na nyundo mara mbili kichwani na kuvuja damu nyingi hali iliyosababisha ubongo wake kumwagika,” alisema Kamanda.
Kamanda alisema mtuhumiwa huyo tayari anafanyiwa mahojiano na atafikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili.
MK254,
Uovu hausafishwi kwa uovu, sema mazuri ya Kenya ili watu wafananishe kiwango cha mazuri na mabaya - huo ndo uungwana
Ndio dunia inakokwenda, pona yenu nyie media zenu za Tanzania huwa zimelala hawataarifu matukio...

Whataboutism?
Eti umemuhurumia [emoji1] , ase ufala uko nao ni first classKuna huyu Mtanzania ameandika hadi nimemhurumia
Nani atakuja kutufidia sisi kama nchi kutokana na mradi usio na tija wa SGR?
Yule jamaa yenu mwenye bichwa bayaaaaaaaaaaa, kaburi lake lazima liwe Invisible , maaana kinyume na hapo hilo kaburi litabomolewa kwa mikwaju ya bakora kutoka kwa wajukuu wetu. Maana miradi yake yoteee Ni white elephantwww.jamiiforums.com
Kuna huyu Mtanzania ameandika hadi nimemhurumia