Kiwango cha stress Kenya kipo juu sana, kila siku kuna kibweka kipya

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Jamaa aliyejiita YESU ajaribu kujinyonga kwenye traffic lights.

Screenshot_20200115-062607~2.png
 
Ndio dunia inakokwenda, pona yenu nyie media zenu za Tanzania huwa zimelala hawataarifu matukio...
Kwa mfano naona hapa jana daktari Tanzania amempiga nyundo mpenzi wake

Daktari amuua mpenzi wake kwa kumpiga nyundo kichwani hadi ubongo kumwagika

eshi la polisi linamshikilia Daktari wa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania (Red Cross), Albert Rugai wa kambi ya wakimbizi ya Nduta wilaya Kibondo kwa kosa la kumuua mpenzi wake Ester Konda (42) kwa kumpiga na nyundo kichwani.

Daktari huyo baada ya kufanya tukio hilo na yeye alifanya jaribio la kutaka kujiua ikashindikana.

Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa polisi mkoa wa Kigoma, alisema kuwa Ester Konda aliuliwa na mpenzi wake kwa kupigwa na nyundo kichwani.

“Alimpiga na nyundo mara mbili kichwani na kuvuja damu nyingi hali iliyosababisha ubongo wake kumwagika,” alisema Kamanda.

Kamanda alisema mtuhumiwa huyo tayari anafanyiwa mahojiano na atafikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili.

MK254,
Uovu hausafishwi kwa uovu, sema mazuri ya Kenya ili watu wafananishe kiwango cha mazuri na mabaya - huo ndo uungwana
 
  • Thanks
Reactions: Oii

Kuna yule mpumbav aliyecheza kamali akaliwa
Akaamua ajirushe kutoka juu hadi chini
Kwenye mall
Angalia wewe usijitundike tu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MK254,
Uovu hausafishwi kwa uovu, sema mazuri ya Kenya ili watu wafananishe kiwango cha mazuri na mabaya - huo ndo uungwana

Wala sijafananisha uovu kwa uovu, mleta mada amesema Kenya kuna kiwango kikubwa cha stress, akasahau Bongo ndio usipime, haswa kwa baadhi yetu tunaoijua Bongo na vituko vyenu.
 
Ndio dunia inakokwenda, pona yenu nyie media zenu za Tanzania huwa zimelala hawataarifu matukio...
Kwa mfano naona hapa jana daktari Tanzania amempiga nyundo mpenzi wake

Daktari amuua mpenzi wake kwa kumpiga nyundo kichwani hadi ubongo kumwagika

eshi la polisi linamshikilia Daktari wa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania (Red Cross), Albert Rugai wa kambi ya wakimbizi ya Nduta wilaya Kibondo kwa kosa la kumuua mpenzi wake Ester Konda (42) kwa kumpiga na nyundo kichwani.

Daktari huyo baada ya kufanya tukio hilo na yeye alifanya jaribio la kutaka kujiua ikashindikana.

Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa polisi mkoa wa Kigoma, alisema kuwa Ester Konda aliuliwa na mpenzi wake kwa kupigwa na nyundo kichwani.

“Alimpiga na nyundo mara mbili kichwani na kuvuja damu nyingi hali iliyosababisha ubongo wake kumwagika,” alisema Kamanda.

Kamanda alisema mtuhumiwa huyo tayari anafanyiwa mahojiano na atafikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili.

Whataboutism?
 
Back
Top Bottom