Wanasayansi wameonya kuwa kiwango cha ubora wa mbegu za kiume, shahawa huko Marekani na Barani Ulaya kwa jumla , kimeshuka kwa kasi mno, kwa sababu wanaume wanakula vyakula vyenye mafuta mengi kwa wingi na kukosa kufanya mazoezi.
Utafiti huu uliowasilishwa, katika kongamano la kila mwaka la mpango wa matibabu ya uzazi, unaonyesha kushuka kwa kasi kwa idadi ya mbegu bora na uwezo wa hizo zilizobora kutungisha mimba.
Utafiti huu umeibua wasiwasi mkubwa miongoni mwa wanasayansi wa afya ya uzazi.
Yamewakuta,Walitufanyia fiigisu nyingi Sana waafrika, just because of our ignorance. Lakin tunae Mungu ambaye anajali haki. Magonjwa kama AIDS, ebola, walifikiri wakisha to wipe out, watakuja hamia hapa.angalia Sasa Mungu alivyo wa ajabu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.