Kiwango cha ubora wa mbegu za kiume, huko Marekani na Barani Ulaya kwa jumla, kimeshuka kwa kasi mno

Kiwango cha ubora wa mbegu za kiume, huko Marekani na Barani Ulaya kwa jumla, kimeshuka kwa kasi mno

Umetoa somo zuri na tahadhari, lakini utaona wengine watapovuka.

Hii si kwa Dsm pekee, inamgusa kila mwanaume.
 
changamkia fulsa hyo
IMG_20181007_233328.jpg
 
Wanasayansi wameonya kuwa kiwango cha ubora wa mbegu za kiume, shahawa huko Marekani na Barani Ulaya kwa jumla , kimeshuka kwa kasi mno, kwa sababu wanaume wanakula vyakula vyenye mafuta mengi kwa wingi na kukosa kufanya mazoezi.

Utafiti huu uliowasilishwa, katika kongamano la kila mwaka la mpango wa matibabu ya uzazi, unaonyesha kushuka kwa kasi kwa idadi ya mbegu bora na uwezo wa hizo zilizobora kutungisha mimba.

Utafiti huu umeibua wasiwasi mkubwa miongoni mwa wanasayansi wa afya ya uzazi.

s.PNG


BBC
 
Yamewakuta,Walitufanyia fiigisu nyingi Sana waafrika, just because of our ignorance. Lakin tunae Mungu ambaye anajali haki. Magonjwa kama AIDS, ebola, walifikiri wakisha to wipe out, watakuja hamia hapa.angalia Sasa Mungu alivyo wa ajabu.
 
Sisi wamikoani hatujafikiwa na utafiti huo,


Nadhani wakija tz ,wanaume wa dar wataongoza
 
Back
Top Bottom