Kiwango cha umaskini nchini Kenya chaongezeka na kufikia asilimia 40%.Tanzania na Rwanda zaongoza kwa Maisha Bora

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Tunapowaambia kwamba Chini ya Rais Samia,Tanzania imeipita Kenya kwenye maendeleo muwe mnaelewa.

Haya Sasa hizi ni takwimu za Idada ya Takwimu ya Kenya ,Haters wote mnaitwa huku mje kusema ni chawa πŸ˜‚πŸ˜‚.

Hongera Rais Samia Kwa kazi nzuri inayoleta matokeo.πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/cobbo3/status/1879497053929443646?t=R5uZik427iO2JT2AUon0xg&s=19
My Take
Machadomo na Baadhi ya Wafuasi wa Mwendazake wanaumia kimya kimya πŸ˜‚πŸ˜‚
Soma zaidi hapa Rais William Ruto aipongeza Tanzania kwa kuongoza na kuipiku Kenya kwenye sekta ya biashara Afrika Mashariki

Bado Hadi 2030 mtanuna sana maana rekodi zitawekwa na kuvunjwa na mtakubali kwamba Samia ni level za Weupe huko.

View: https://www.instagram.com/p/DEyvzU_NwP9/?igsh=dXl3cHVudXRwOTBm
View: https://www.instagram.com/reel/DE3zpIdNAH1/?igsh=Y3ptN285Nzl2ZHNw
 
Kila nchi inatumia kipimo tofauti cha kupima umaskini, ukitaka kipimo cha kulinganisha tumia World Bank standard $2.15 kwa siku.
 
Kila nchi inatumia kipimo tofauti cha kupima umaskini, ukitaka kipimo cha kulinganisha tumia World Bank standard $2.15 kwa siku.
Kipimo ni kile kile Kwa mujibu wa terminologies za Uchumi na upimaji wake ni ule ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…