ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #21
UongoKila nchi inatumia kipimo tofauti cha kupima umaskini, ukitaka kipimo cha kulinganisha tumia World Bank standard $2.15 kwa siku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UongoKila nchi inatumia kipimo tofauti cha kupima umaskini, ukitaka kipimo cha kulinganisha tumia World Bank standard $2.15 kwa siku.
Tanzania sio maskini ,mbona unaongea Kwa kuweweseka?Aisee Moja kwahio kama Kenya na Somalia huko hata dunia nzima wakiwa masikini na wewe uwe masikini ? Hao wote wana Maziwa Makubwa Afrika, Mlima Mrefu Afrika, Vivutio vya Watalii na Nchi yenye Amani ambayo haina Civil Wars ?
Mbili unahitaji takwimu kukwambia kwamba kitaa hapakaliki ? Kama watu hawana disposable income wala kuweza kupata ujira wa uhakika hizo basic needs wanazitoa wapi (achana umasikini tu watu kitaa ni mafukara na wenyewe nazo wanangoja mshahara huu ili kulipa madeni ya mwezi juzi)...
Anyway ndio hivyo watu wamejikita kwenye Propaganda...
Siasa Mamboleo - Mdomo unapojaribu Kulidanganya Sikio
Siasa na Propaganda zimekuwa zikifanyika tangia enzi...; ila imefika wakati watu kujaribu kukwambia kwamba nyeusi ni nyekundu yaani wanadhani wakitamka mara nyingi zaidi hata wao wenyewe mdomo wao utali-convince sikio lao... Angalizo kwa hawa watu ukiwa ni mtu wa kusifia bila kupinga utaondoa...www.jamiiforums.com
Jisemee wewe au ulikuta mafundi nguo wamefunga ofisi Kwa sababu maisha magumu?Mtaani maisha ni magumu we unakuja na tafiti za kuungaunga
Acha kusubiri kuambiwa au kutegemea Statistics hizo zinaweza kutafsiriwa vyovyote unavyotaka...Tanzania sio maskini ,mbona unaongea Kwa kuweweseka?
Hizo takwimu ni za USA? Kama takwimu hutaki picha huzioni? 👇👇Acha kusubiri kuambiwa au kutegemea Statistics hizo zinaweza kutafsiriwa vyovyote unavyotaka...
Majibu ya hata Ulaya; USA wanafanya ni kupotoka (Statistics are like bikinis. What they reveal is suggestive, but what they conceal is vital.')
Kipimo cha kweli cha watu kwamba sio masikini ni kuweza kumudu matumizi yao na kupakia na savings za a rainy day (mambo yakienda ndivyo sivyo) Sasa kama watu wanachopata hakikidhi their day to day basics needs na hawana savings (wote ni wachuuzi na mtaji wao ni nguvu zao au siku wakiugua wanakula mpaka mtaji) huwezi kusema hao sio mafukara..., Kwahio badala ya kuendelea kushangilia mambo ya ajabu hao unawashangilia waulize / critizise tusiendelee kuharibu kesho yetu.., sababu upuuzi wao wa leo utakuja gharimu awamu zijazo
Ustawi wa Jamii: Tunajiandaa Vipi na Kuzuia Wimbi la Wazee Ombaomba wa Kesho ?
Wahenga walisea Mchumia Juani Hulia Kivulini; Ila nadhani hawaku-consider kama cha kuchuma hakipo inakuwaje...; Baba wa Taifa alisema katika Hotuba ya TANU (ambayo ndio Baba wa huyu CCM anayetawala Leo) CHAMA CHETU KINASEMA - mtu mwenye Afya ambaye tumeshindwa kumpa njia halali ya kujipatia...www.jamiiforums.com
Hizo takwimu ni za USA? Kama takwimu hutaki picha huzioni? 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DE29hCLN_Sf/?igsh=MTV1bmFoNWxucGY1dQ==
Kama takwimu hutaki,picha nazo huoni? 👇👇Kwahio nilivyokwambia Statistics are like Bikinis ulidhani naongelea kwamba uende ukanunue Bikini
Majibu ya hata Ulaya; USA wanafanya ni kupotoka (Statistics are like bikinis. What they reveal is suggestive, but what they conceal is vital.')
Tuliambiwa hata United Kingdom Bandari wamewapa watu.., ni kweli UK hata uzalishaji siku hizi hawafanyi kama zamani magari yao yote ni mali za wengine..., UK baada ya ukoloni kuisha ilijikita kwenye Service industry (pamoja na kuuzia watu silaha); ila muhimu kabisa walijikita kwenye Service ya...www.jamiiforums.com
Kama takwimu hutaki,picha nazo huoni? 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DDsEjgitIZ8/?igsh=bjhkNDd5Z25jdnh2
Walipe wewe kwenye kiwanda chako ujira unaotosheleza naona unahamisha sana magoliUnahitaji picha kujua kwamba majority ujira wao hautoshelezi kupata basic needs zao ? Kama haujia ingia mtaani au tafuta ukweli ni wangapi hawana ujira ndio maana ikija nafasi za kupata watu 1500 wanakwenda maelfu na maelfu au kuna mpaka wauguzi kitaa hawana ajira... (kwa maneno mengine lack of means to sustain one's basic needs ndio umasikini wenyewe)
Mimi nachukua Kodi za wananchi ? Mimi ndio nimeajiriwa kuleta Sera za kuhakikisha kwamba watu wanapata their basic needs ? Hao waliopo hapo juu kazi yao ni nini zaidi ya kumaliza maadui wetu watatu ambao hawajawahi kubadilika tangia ukoloni (Umasikini, Ujinga na Maradhi) na mimi takwambia hao wamezidi na wanaendelea kuzidi bora hapo kabla;Walipe wewe kwenye kiwanda chako ujira unaotosheleza naona unahamisha sana magoli