Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 Jun 13, 2026 #1 Kwa wastani katika watu 10 wenye umri wa kufanya kazi karibia watu 8 ni tegemezi ! Wanaofanya kazi waheshimwe sana, serikali nayo bado imelala kuhamasisha uzazi wa mpango.
Kwa wastani katika watu 10 wenye umri wa kufanya kazi karibia watu 8 ni tegemezi ! Wanaofanya kazi waheshimwe sana, serikali nayo bado imelala kuhamasisha uzazi wa mpango.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jun 14, 2026 #2 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 25,050 Reaction score 45,202 Jun 14, 2026 #3 Hao serikali unaowataja wakiongozwa na Samia ndo wapumbafu kabisa bora hata usingewataja
TheChoji JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 6,767 Reaction score 20,869 Jun 14, 2026 #4 Duh.. life expectancy kwa wanaume miaka 66 tu 😭
Robert Heriel Mtibeli Platinum Member Joined Mar 24, 2018 Posts 40,153 Reaction score 93,069 Jun 14, 2026 #5 Hapo kuna kuzaa bila mpango Na wanaawake wengi kuwaa mizigo. Tegemezi. Fikiria wanawake wenyewe ni nusu ya idadi ya watanzania yaani zaidi ya milioni 36. Haya fikiria waliochini ya miaka 25 ni zaidi ya asilimia 70% Na karibia wote ni tegemezi
Hapo kuna kuzaa bila mpango Na wanaawake wengi kuwaa mizigo. Tegemezi. Fikiria wanawake wenyewe ni nusu ya idadi ya watanzania yaani zaidi ya milioni 36. Haya fikiria waliochini ya miaka 25 ni zaidi ya asilimia 70% Na karibia wote ni tegemezi
Joshua Mbezi JF-Expert Member Joined Oct 18, 2024 Posts 1,994 Reaction score 4,446 Jun 14, 2026 #6 Juzi mkumbo si kasema watanzania wote sahv n mamilionea😅 We hzi takwimu umeztoa wapi