Car4Sale Kiwanja bei poa

Car4Sale Kiwanja bei poa

Nelson Kapaya

Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
99
Reaction score
15
Kiwanja kiko maeneo ya airport ilemela Mwanza. Ukubwa 25m*30m. Bei 1.65ml. 0753101293
 
Eeh nimekuja mbio kumbe mwanza..!nilifikiri dar au maeneo karibu na dar,..haya wa mwanza changamkieni kiplonga hicho..
 
Bei nzuri lkn vp mafuriko ya airport au kipo sehemu salama?Nipo Dar naweza mtuma ndugu yangu akaja kuona
 
Back
Top Bottom