KIWANJA CHA 1,200 SQM KINAUZWA – ILALILA, BUSWELU, MWANZA

KIWANJA CHA 1,200 SQM KINAUZWA – ILALILA, BUSWELU, MWANZA

Bonny92

New Member
Joined
Sep 27, 2026
Posts
1
Reaction score
0
Nauza kiwanja changu kilichopo Ilalila, Buswelu – Mwanza, katika eneo linaloendelea kukua.

📍 Ukubwa: 1,200 SQM
📍 Location: Ilalila, Buswelu – Mwanza
🚗 Takriban mita 100 kutoka barabara kuu
💧 Maji yapo
⚡ Umeme upo
🏠 Kuna msingi wa vyumba 3 tayari
🌿 Eneo ni tambarare na linafikika

Kiwanja kinaweza kufaa kwa kujenga nyumba au uwekezaji, kulingana na mipango ya mnunuzi.

💰 Bei: TSh 15,000,000/=
Bei inazungumzika kwa mnunuzi serious.

Mimi ni mwenye kiwanja, si tangazo la mtu mwingine.

Mwenye kutafuta kiwanja Buswelu/Ilalila au anayemjua mtu anayehitaji eneo la ukubwa huu, karibu kuwasiliana nami kwa maelezo zaidi na kuonyeshwa eneo.

📞 Simu/WhatsApp: [0741652233]

Wanunuzi serious na mawakala wenye buyer serious wanakaribishwa.
 
Back
Top Bottom