Nauza kiwanja changu kilichopo Ilalila, Buswelu β Mwanza, katika eneo linaloendelea kukua.
π Ukubwa: 1,200 SQM
π Location: Ilalila, Buswelu β Mwanza
π Takriban mita 100 kutoka barabara kuu
π§ Maji yapo
β‘ Umeme upo
π Kuna msingi wa vyumba 3 tayari
πΏ Eneo ni tambarare na linafikika
Kiwanja kinaweza kufaa kwa kujenga nyumba au uwekezaji, kulingana na mipango ya mnunuzi.
π° Bei: TSh 15,000,000/=
Bei inazungumzika kwa mnunuzi serious.
Mimi ni mwenye kiwanja, si tangazo la mtu mwingine.
Mwenye kutafuta kiwanja Buswelu/Ilalila au anayemjua mtu anayehitaji eneo la ukubwa huu, karibu kuwasiliana nami kwa maelezo zaidi na kuonyeshwa eneo.
π Simu/WhatsApp: [0741652233]
Wanunuzi serious na mawakala wenye buyer serious wanakaribishwa.