Kiwanja cha ekari moja kinauzwa

Kiwanja cha ekari moja kinauzwa

Migomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Posts
945
Reaction score
1,337
Kiwanja kinauzwa vikindu jirani na chuo kikuu kipya St. Augustine. Kina ukubwa ekari moja bei 15m. Kamata fursa hii kwani wengi hawafahamu kuwa kuna university inakaribia kufunguliwa Vikindu, na bei za viwanja zinapanda kwa kasi.
 
Back
Top Bottom