Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Mkopo kutoka bank gani,Shiling ngapi?
Pole zake si ndio msanii wa kike mwenye pesa huyu....
Unataka kumlipia?
Teh Teh
Pole Jide,ni mapito tu hayo ila nakuomba rudiana namumeo usijali watu watasema nini
Japo Dawa ya deni ni kulipa lakini kiburi ndio kimechangia zaidi huyu dada kufikishwa hapa!
Mtu mwenye utimamu anafungaje biashara ambayo ndio sababu ya yeye kuchukua mkopo? Kwenye hili sakata tutajua mengi lazima jide afunguke soon!
Teh Teh
Warumi kakimbizwa india kwa matibabu ya pressure
ashapata mzungu choka mbaya anaishi nae masaki......
Mkopo kutoka bank gani,Shiling ngapi?
Nyumba hii itanunuliwa na Clouds media ili kumuokoa Jide au atalipiwa deni!
dah!kumbe saa 4 ndio mnada nimechelewa kidogo tu
Jide mwenyewe yupo dubai likizo..... (according to insta lakini)
Hahahah usiniambie ubuyu utakosekana hadi pale atakapopona???