BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Ka huo ubuyu ulikua unahusu nini mweeh nimepitwaje sasa siku hizi naskia uvivu kuingia kwa mange.
Mama machache alikuwa mchepuko wa mgombea uraisi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ka huo ubuyu ulikua unahusu nini mweeh nimepitwaje sasa siku hizi naskia uvivu kuingia kwa mange.
Huu ubuyu ulioshaje maana under the carpet wanadai haukufanyika......
Ila huu ubuyu wa jide warumi ujue hauna dili
Uliona ubuyu kwa mange???? Kuhusiana na mama machache na mgombea uraisi??????? ( alishaudelete lakini)
Mama machache alikuwa mchepuko wa mgombea uraisi...
kwamba janywari alikuwa anachepuka na mke wa machache wa sasa, kuna mzunguko wa kingono wa hali ya juu kwa ma starHuu ubuyu ulioshaje maana under the carpet wanadai haukufanyika......
Ila huu ubuyu wa jide warumi ujue hauna dili
Uliona ubuyu kwa mange???? Kuhusiana na mama machache na mgombea uraisi??????? ( alishauidelete lakini)
Mama machache alikuwa mchepuko wa mgombea uraisi...
Shughuli itakuwa imekwisha. Nimesikitika kwa hili, wasanii wamekosa umoja wangemsaidia mwenzao bila kujali kuwa alijipambanua kuwa ni team fulani.
Hili game la mziki bongo linashikiliwa na madon wa muziki hapa bongo, ukiwa tofauti na hawa madon wa muziki wa kibongo basi ujue taratibu utatoka kwenye mzunguko wa muziki na kuwa mwisho wako
Haya ni matokeo ya mfumo huo wa kidon wa muziki yaliopelekea jay dee kufikia hapo alipo
Jay dee hapati show tena za maana, club yake imefanyiwa fitna nyingi sana hadi imeondoshwa pale
Ndoa yake watu wameichezea shere hadi imevunjika, kazi zake hazipati sapoti tena wala kusikika zaidi ya die hard funs wake
Nauona mwisho mbaya wa kimuziki wa jay dee maana ataishia kupokea tuzo tu
Sipati picha enzi hizo jide yupo vizuri na madon wa muziki na ikatokea issue kama hii, basi angeanfaliwa shows mikoa kama mitatu pesa ingepatikana na hakuna mtu angejua jide anadaiwa
Jide ana mengi sana moyoni, anaumia sana kipaji chake hakitendewi haki tena, kama sio Clouds kumpeleka mahakamani na kumfumba mdomo tungesijia mengi sana yaliomo moyoni
Huwezi kuishi maisha ya kifahari aliyoishi jide kama hupati na haufanyi shows, hupati endorsements za matangazo, biashara zinapigwa pini na ndoa inasambaratishwa
Namuonea huruma sana dada yangu anajikaza kisabuni tu
Mkuu Ave,
Kwahiyo hii shangilia yao wanataka wakaolewe wao? Si waende kimyakimya tu kuliko kijidhalilisha hapa? Au wanataka nini hasa??
BACK TANGANYIKA
Mwanamke kufanya ukike haishangazi ila mwanaume kufanya ukike inashangaza. .labda kama fikra zangu zilinidanganya kudhani wewe ni he kumbe she
Hata mimi nashangaa, wanaomchukia jide ni wachawi sio bure, hapo alipofikia jide hata baadhi ya wanaume wameshindwa kufikia, sasa mtu akianguka kidogo mnaanza kumcheka huu sio uchawi? MImi jide kwangu bado ni fighter, aendelee kupambana acha watu waendelee kuhesabu baraka zake
Inashangaza sana aiseeee..!!
Vidume vizima na vindevu vyao vinafurahia kushuka kwa Lafy Jd.! Huu kama si upunguani ni nini? Mliomba penzi akawadiss? Au mmechangia nini kwa mafanikio yake? Kwanini mfurahie kushuka kwa mtu? Kushuka kwenyewe ni kuuzwa kwa kiwanja ndiko kunawakenusha meno hapa? Kuna Mijitu humu ndani ni mijuha sana..!! Hivi mtu akifirisika wewe unapata nini? Maana kama akipata mafanikio waweza kuomba msaada, sasa akifirisika wewe unashangilia, faida gani unayoipata.....!! Mwacheni Komando na maisha yake jamani, inawahusu nini nyie vidume na midushee inayosimama? Au imelala..!!
Jiwe Kizani ukisikaa mayooo..Limekupata!
BACK TANGANYIKA