warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Mkuu mbona tangazo lenyewe linabainusha wazi kuwa ni nyumba!ukiangalia ilo tangazo la mnada baada ya title,sehemu ya introduction apo utakuta imeandikwa "dhamana/nyumba"...neno plot kwny ilo jedwali lickupoteze coz kisheria nyumba zoooote huwa zinahesabka kuwa ni sehemu ya ardhi..so kama itakuwa imejengwa ktk kiwanja kilishokwisha pimwa ndo tutaiterm kama plot no flani...kwa iyo inawezekana ikawa ni nyumba kweli au ata kiwanja kitupu coz ktk sheria zote ni ardhi tu.
Haya semeni ghorofa kabisa..