Kiwanja cha Jay Dee kupigwa mnada baada ya kushindwa kulipa deni la mkopo

Kiwanja cha Jay Dee kupigwa mnada baada ya kushindwa kulipa deni la mkopo

Huu ubuyu ulioshaje maana under the carpet wanadai haukufanyika......

Ila huu ubuyu wa jide warumi ujue hauna dili

Uliona ubuyu kwa mange???? Kuhusiana na mama machache na mgombea uraisi??????? ( alishaudelete lakini)

Hata screenshot mtuwekee
Alisemaje kwani?
 
Huu ubuyu ulioshaje maana under the carpet wanadai haukufanyika......

Ila huu ubuyu wa jide warumi ujue hauna dili

Uliona ubuyu kwa mange???? Kuhusiana na mama machache na mgombea uraisi??????? ( alishauidelete lakini)
kwamba janywari alikuwa anachepuka na mke wa machache wa sasa, kuna mzunguko wa kingono wa hali ya juu kwa ma star
 
Hili game la mziki bongo linashikiliwa na madon wa muziki hapa bongo, ukiwa tofauti na hawa madon wa muziki wa kibongo basi ujue taratibu utatoka kwenye mzunguko wa muziki na kuwa mwisho wako

Haya ni matokeo ya mfumo huo wa kidon wa muziki yaliopelekea jay dee kufikia hapo alipo

Jay dee hapati show tena za maana, club yake imefanyiwa fitna nyingi sana hadi imeondoshwa pale
Ndoa yake watu wameichezea shere hadi imevunjika, kazi zake hazipati sapoti tena wala kusikika zaidi ya die hard funs wake
Nauona mwisho mbaya wa kimuziki wa jay dee maana ataishia kupokea tuzo tu

Sipati picha enzi hizo jide yupo vizuri na madon wa muziki na ikatokea issue kama hii, basi angeanfaliwa shows mikoa kama mitatu pesa ingepatikana na hakuna mtu angejua jide anadaiwa

Jide ana mengi sana moyoni, anaumia sana kipaji chake hakitendewi haki tena, kama sio Clouds kumpeleka mahakamani na kumfumba mdomo tungesijia mengi sana yaliomo moyoni

Huwezi kuishi maisha ya kifahari aliyoishi jide kama hupati na haufanyi shows, hupati endorsements za matangazo, biashara zinapigwa pini na ndoa inasambaratishwa
Namuonea huruma sana dada yangu anajikaza kisabuni tu
 
Shughuli itakuwa imekwisha. Nimesikitika kwa hili, wasanii wamekosa umoja wangemsaidia mwenzao bila kujali kuwa alijipambanua kuwa ni team fulani.

jide ndo amekosa ushirikiano na wasanii wenzake usiseme wasanii wamekosa umoja
 
Hili game la mziki bongo linashikiliwa na madon wa muziki hapa bongo, ukiwa tofauti na hawa madon wa muziki wa kibongo basi ujue taratibu utatoka kwenye mzunguko wa muziki na kuwa mwisho wako

Haya ni matokeo ya mfumo huo wa kidon wa muziki yaliopelekea jay dee kufikia hapo alipo

Jay dee hapati show tena za maana, club yake imefanyiwa fitna nyingi sana hadi imeondoshwa pale
Ndoa yake watu wameichezea shere hadi imevunjika, kazi zake hazipati sapoti tena wala kusikika zaidi ya die hard funs wake
Nauona mwisho mbaya wa kimuziki wa jay dee maana ataishia kupokea tuzo tu

Sipati picha enzi hizo jide yupo vizuri na madon wa muziki na ikatokea issue kama hii, basi angeanfaliwa shows mikoa kama mitatu pesa ingepatikana na hakuna mtu angejua jide anadaiwa

Jide ana mengi sana moyoni, anaumia sana kipaji chake hakitendewi haki tena, kama sio Clouds kumpeleka mahakamani na kumfumba mdomo tungesijia mengi sana yaliomo moyoni

Huwezi kuishi maisha ya kifahari aliyoishi jide kama hupati na haufanyi shows, hupati endorsements za matangazo, biashara zinapigwa pini na ndoa inasambaratishwa
Namuonea huruma sana dada yangu anajikaza kisabuni tu

ndo maana unaambiwa tumikia ------ upate ujira wako, sasa mtu hujui whats the future halafu bado unakua kiburi
 
Mkuu Ave,

Kwahiyo hii shangilia yao wanataka wakaolewe wao? Si waende kimyakimya tu kuliko kijidhalilisha hapa? Au wanataka nini hasa??

BACK TANGANYIKA

Hahah we jamaa yangu umejua kunifurahisha aseee!

Heheh hii imfikie loya Rutashobolwa na wengineo.
Maana ye kitokeacho kwa jide jibu lake eti kiburi, mara oooh atajuta kumuacha gadna pyeeeeeee!!!
Kila binadamu ana ups and downs bhana, sio kuwasympathizia mariooo!
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke kufanya ukike haishangazi ila mwanaume kufanya ukike inashangaza. .labda kama fikra zangu zilinidanganya kudhani wewe ni he kumbe she

Huyu jamaa sijui ana matatizo gani.. Alishagombana na kila mtu kule majukwaa ya juu akakimbilia huku.. Huku nako naona anaanza tena hizi tabia zake..
 
Hata mimi nashangaa, wanaomchukia jide ni wachawi sio bure, hapo alipofikia jide hata baadhi ya wanaume wameshindwa kufikia, sasa mtu akianguka kidogo mnaanza kumcheka huu sio uchawi? MImi jide kwangu bado ni fighter, aendelee kupambana acha watu waendelee kuhesabu baraka zake

Nilishasema humu.. Huyo mpiga box sijui ngedere ana maisha mabovu sana... Watu wenye stress ndio hufurahia kushuka kwa wengine
 
Inashangaza sana aiseeee..!!

Vidume vizima na vindevu vyao vinafurahia kushuka kwa Lafy Jd.! Huu kama si upunguani ni nini? Mliomba penzi akawadiss? Au mmechangia nini kwa mafanikio yake? Kwanini mfurahie kushuka kwa mtu? Kushuka kwenyewe ni kuuzwa kwa kiwanja ndiko kunawakenusha meno hapa? Kuna Mijitu humu ndani ni mijuha sana..!! Hivi mtu akifirisika wewe unapata nini? Maana kama akipata mafanikio waweza kuomba msaada, sasa akifirisika wewe unashangilia, faida gani unayoipata.....!! Mwacheni Komando na maisha yake jamani, inawahusu nini nyie vidume na midushee inayosimama? Au imelala..!!

Jiwe Kizani ukisikaa mayooo..Limekupata!

BACK TANGANYIKA

Sasa na wewe umemwogopa?? Si umtaje tu ni hilo Linyani lenye stress..
 
Back
Top Bottom