Kiwanja cha makazi 38x35 mbezi kinauzwa bei tsh 8mil

Kiwanja cha makazi 38x35 mbezi kinauzwa bei tsh 8mil

kanjahni

Member
Joined
Jul 19, 2014
Posts
42
Reaction score
14
:flame:Kiwanja kipo safi eneo tambarale huduma za jamii zipo karibu sana
utafika na gari mpaka kiwanjani barabara ni safi umeme na maji vipo hapo jirani
eneo limejengeka sana na limechangamka na majirani na kiwanja wameshajenga na wamehamia
nahitaj wanunuzi makini plz tuwasiliane kwa namba zifuatazo
0716 866241 au 0755 069740
 

Attachments

  • IMG_20140720_114308.jpg
    IMG_20140720_114308.jpg
    37.9 KB · Views: 231
  • IMG_20140720_114342.jpg
    IMG_20140720_114342.jpg
    61.8 KB · Views: 211
weka bei. pia ni mbezi gani, mbezi luis ya upande upi kun amiji mngi sana huko mbezi luis
 
Nina milion 15 nahitaji kiwanja kisichopungua ukubwa WA 1200 m2!!!! Maeneo ya Boko, Kigamboni, Bunju, mbweni jkt, kibada, tuangoma...kiwe mahali ambapo watu wameshaanza kujenga kwenye huduma za kijamii...uko pasta au kusikia naomba unijurishe...email yangu ni [email protected]. Asante.
 
Back
Top Bottom