:flame:Kiwanja kipo safi eneo tambarale huduma za jamii zipo karibu sana
utafika na gari mpaka kiwanjani barabara ni safi umeme na maji vipo hapo jirani
eneo limejengeka sana na limechangamka na majirani na kiwanja wameshajenga na wamehamia
nahitaj wanunuzi makini plz tuwasiliane kwa namba zifuatazo
0716 866241 au 0755 069740