Mita ngapi?umbali ni kama dakika 15 kutembea
Ni kama mita 800 kutoka stendi ya nyamongolo au lami.Mita ngapi?
Atakayenunua hapo lazima awe na uwezo na awe na plan ya kujenga ghorofa , vinginevyo ni hasaraHiyo Bei unanunua kijiji kizima nje ya mji
🙏Atakayenunua hapo lazima awe na uwezo na awe na plan ya kujenga ghorofa , vinginevyo ni hasara
Yeah na hakina haraka mkuu.Atakayenunua hapo lazima awe na uwezo na awe na plan ya kujenga ghorofa , vinginevyo ni hasara
Ishapita mkuu.Tutanunua baada ya El Nino kupita, ngoja inyeshe kwanza tuone panapo vuja.