Joseph Emmanuel masanja
Member
- Dec 15, 2023
- 6
- 5
Nina kiwanja cha upana feet 18 na urefu feet 22 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu sebule dining room na kitchen room Choo bafu ndani na nje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni square meter 396, unaweza kujenga nyumba bila shida na fence.Nina kiwanja cha upana feet 18 na urefu feet 22 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu sebule dining room na kitchen room Choo bafu ndani na inje
Futi 22 si sawa na mita 7 tu feet 18 ni awa na mita 6. Hapo inatoa chumba kimoja na choo tuHizo ni square meter 396, unaweza kujenga nyumba bila shida na fence.
Ni either hujui vipimo au hujui hesabuHizo ni square meter 396, unaweza kujenga nyumba bila shida na fence.
Chumba chenye lishe kina mita 4×4Tuache utani, kiwanja cha mita 6 kwa mita 7, hivyo vyumba viwili na sebule vya ukubwa gani???
Hesabu zako hazipo sawa kiwanja chake kudogo sanaHizo ni square meter 396, unaweza kujenga nyumba bila shida na fence.
Nilikosea nikafanya hesabu za meter kuja square meter, kumbe ni futi, huyo analeta utani sasa.Hesabu zako hazipo sawa kiwanja chake kudogo sana
Nilikosea, nilizidisha meter kwenda square meter, nimepitiwa.Ni either hujui vipimo au hujui hesabu
Hiyo square metre 396 umeipataje? Hizo ni feet ulipasaa uzipeleke kwenye metre. Hizo ni sawa na mita 5.4 kwa mita 6.7
Hapo ndio uzidishe
Dr hizi square meters umepataje?.Hizo ni square meter 396, unaweza kujenga nyumba bila shida na fence.
hicho kiwanja kipindi unakinunua ulikiona? au ndo unataka ujue kama nyumba unayotaka itatosha ndo ununue?Nina kiwanja cha upana feet 18 na urefu feet 22 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu sebule dining room na kitchen room Choo bafu ndani na nje?
Kama hujui Units of measurements aisee mambo yanakuwa magumu, jitahidi hata ujue units za msingi kama units of length, mass, time, capacity. and their convertions.Nina kiwanja cha upana feet 18 na urefu feet 22 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu sebule dining room na kitchen room Choo bafu ndani na nje?
Shimo la choo linatokea chni ya chumba mambo yasiwe mengi.. mwamba anakimbia kodi. Kachoka kusimangwaKama hujui Units of measurements aisee mambo yanakuwa magumu, jitahidi hata ujue units za msingi kama units of length, mass, time, capacity. and their convertions.
umeuliza hizo feet 18 na 20 ni unist of length,
iko hivi ruler uliyotumia shuleni ile ya 30Cm huo urefu ndio futi moja sasakubadili hizo feet ukizidisha mara 30 unapta Cm halafu gawa kwa mia unapata mita.
18feet = 18 × 30Cm = 540Cm
22feet = 22 × 30Cm = 660Cm
Badili izo centimeters to meters (1meter = 100Cm)
540Cm = 5.4 × 100Cm =5.4meter
660Cm = 6.6 × 100Cm = 6.6meter
sasa kiwanja chako dimensions ni 5.4m × 6.6m,
ukichimba shimola choo lenye radius 5 feet litachukua 7metre square.
hili shimo lina diameter 3m yaani litakaakwenye kiwanja nafasi itayobaki fanya kutoa 3m kwenye hizo dimensions itabaki 2.4m × 3.6m bado hujaacha uchochoro maana huwezi kujenga nyumba kwenye mpaka, bado nafasi kati ya shimo na nyumba.
chumba kidogo sana cha kulala ni 3m × 3m, kiwanja chako ukiweka shimo la choo tayari hiki chumba kidogo hakitoshi.
Fala wewe, soma previous post siyo unandiadandia tuDr hizi square meters umepataje?.
Acha kumdanganya mwenzio, narudia tena usimdanganye kaka wa watu
Unaidhalilisha PhD asee
Fala mwenyeweFala wewe, soma previous post siyo unandiadandia tu