Kiwanja cha ukubwa huu naweza kujenga nyumba ya ukubwa huu?

Kiwanja cha ukubwa huu naweza kujenga nyumba ya ukubwa huu?

Wakuu mkihitaji design nzuri na za kisasa za nyumba msisite kutembelea uzi huu.

Hapo ni kujenga ghorofa la chumba kila floor.

Chini kabsa jenga sebule ya mita 4×5 ina maana upande mmoja utaacha 1m na mwingine 2m....

Floor inayofuatia jenga mita 4 kwa 3 hapa utapata dinning na jiko.

Inayofuatua weka choo na bafu na sehemu ya viatu na kupigia pasi.

Floor tatu zinazofuatia jenga vyumba cha 3 kwa 3.

Then juu kabsa kule unajenga master bedroom kubwa 5 kwa 5 kabsa.
Huko juu hakuna mipaka unatanua tu.

Alternative weka chumba 3×2 choo 1×2 na sebule na jiko kidogo kwa nyumba ya chini.

Unavibana vinakaa kwa marefu.
 
Boss umemkatisha sana tamaa apo ungemwambia ata ataweza ila kwa vyumba 3 vya 2X2 🤣🤣
 
Kimsingi hilo eneo halitoshi jengo lenye specifications unazo hitaji, chakufanya ongeza eneo au Jenga nyumba yenye vyumba viwili, sebule, jiko na public toilet moja ukihitaj hio ramani nicheki 0625272770 au pia kama utakua na wazo jingine kuhusu ramani na makadirio yake ya gharama za ujenzi nicheki pia🤝
 
Nina kiwanja cha upana feet 18 na urefu feet 22 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu sebule dining room na kitchen room Choo bafu ndani na nje?
Feet 18 ni sawa na meta 5.5
Feet 22 ni sawa na meta 6.7

Kwa hiyo hicho kiwanja kina ukubwa we eneo wa 5.5 X 6.7= 36.85M²

Hapo unaweza kujenga vyumba viwili tu

NB: Meta moja ni sawa na Feet 3.3
 
Back
Top Bottom