Nile_house_designs
JF-Expert Member
- Nov 13, 2020
- 402
- 483
Chumba kimoja kina urefu na upana mita ngapi?Nyumba inakaa vizuri tu vyumba viwili na kasebule fulani
Kiongoz rejea kuangalia dimensions unit alizo kupa hapo ni FEETS sio METERSHizo ni square meter 396, unaweza kujenga nyumba bila shida na fence.
Boss umemkatisha sana tamaa apo ungemwambia ata ataweza ila kwa vyumba 3 vya 2X2 🤣🤣Hapo ni kujenga ghorofa la chumba kila floor.
Chini kabsa jenga sebule ya mita 4×5 ina maana upande mmoja utaacha 1m na mwingine 2m....
Floor inayofuatia jenga mita 4 kwa 3 hapa utapata dinning na jiko.
Inayofuatua weka choo na bafu na sehemu ya viatu na kupigia pasi.
Floor tatu zinazofuatia jenga vyumba cha 3 kwa 3.
Then juu kabsa kule unajenga master bedroom kubwa 5 kwa 5 kabsa.
Huko juu hakuna mipaka unatanua tu.
Alternative weka chumba 3×2 choo 1×2 na sebule na jiko kidogo kwa nyumba ya chini.
Unavibana vinakaa kwa marefu.
Kama umesoma post zote nimeshaelezea kwenye previous post, ila kama umerukia tu post hii tu huwezi kuelewa.Kiongoz rejea kuangalia dimensions unit alizo kupa hapo ni FEETS sio METERS
Nonsense 🚮Kama umesoma post zote nimeshaelezea kwenye previous post, ila kama umerukia tu post hii tu huwezi kuelewa.
Jenga kwa kuelekea juu.Usisambaze nyumba kama unaanika udaga/mihogo.Umenielewa lakini?Futi 22 si sawa na mita 7 tu feet 18 ni awa na mita 6. Hapo inatoa chumba kimoja na choo tu
Feet 18 ni sawa na meta 5.5Nina kiwanja cha upana feet 18 na urefu feet 22 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu sebule dining room na kitchen room Choo bafu ndani na nje?